When will our President act as a Commander in Chief?

When will our President act as a Commander in Chief?

Reading this kind of Governance ineffiency under the leadership of this underperforming man whose potentials were way over rated makes me puke.
 
Ukishakabidhi nchi kwa ------ usitegemee kutakuwa na Serikali thabiti.. |Chai tupu Mzee wa msoga hana jipya. Jembe ni Mkapa bwana..tutaendelea kumkumbuka ... Hv deni la taifa limefikishwa kiasi gani na ------ tena?
 
but who is the government? I think is me and you. Help our leaders to pinpoint who are responsible with these bombs, giving the statement as the commander in chief will not be the solution at all.

Ninajaribu kufikiria kwa sauti,hivi tulipowachagua viongozi wetu walikubali na wakafanya na sherehe kubwa za kuchaguliwa kushika uongozi,iweje leo nimsaidia kufanya maamuzi wakati anatakiwa kuyafanya?Hivi suala la ulinzi na usalama wa nchi si ni suala nyeti linalotakiwa kufanyiwa kazi na sekta au taasisi husika?Hivi kuna sababu gani kupeleka majeshi kwenye vita kama Congo na sasa wanaplan kwenda Sudan Kusini wakati hapa kwetu mambo ni magumu na yanahitaji usimamizi wa majeshi yetu?

Ndiyo maana thatha sitakuelewa wajibu wangu ni kutoa taarifa kama tu ninawafahamu wahusika lakini bado serikali inabidi kufanyia kazi masuala yote yanayohusu usalama wa nchi.Vinginevyo waachie ngazi kama wameshindwa kuilinda Tanzania yetu.
 
The government is not there just to deal with issues which to some extent we are causing ourselves. before blaming our leaders, are we really taking measures to help them to deal with the problem or we are just there to do politics?

Waswahili wanasema ...'Mdharau mwiba mguu huota tende" tuangalie wenzetu wa Kenya walijidhania wamesimama sasa sijui ndiyo wameanguka au wametikisika..........
 
Back
Top Bottom