When u cant fulfill your dream just dream it

Huyu mzee ni bright sana..basi tu unafki unamshughulikia..alicho mfanyia abdu jumbe hakitamuacha salama!
 
Huyu mzee ni bright sana..basi tu unafki unamshughulikia..alicho mfanyia abdu jumbe hakitamuacha salama!
Mkuu super.. Huyu Mzee kamfanyia nini jumbe? kwa faida ya sote hapa jukwaani.. Maana naskiaga saaana hii kitu lakn mpaka leo hii sijaielewaga?
 
Mkuu super.. Huyu Mzee kamfanyia nini jumbe? kwa faida ya sote hapa jukwaani.. Maana naskiaga saaana hii kitu lakn mpaka leo hii sijaielewaga?
Huyu kijana wa zaman aliitwa na jumbe kwamujib wa storry akiwa ni kijana mwenye msukumo mkubwa wa kisiasa ilikua n kuhusu swala la znz na tanganyika ilikua n kipind jbe aligundua muungano ulikua umekaa kinamna ya kuimeza zanzibar na zanzbar kuwa ni eneo la tanganyika na sio eneo l Muungano alipoitwa kijana alimpa mustakabali mzima na kumpa taarifa ambazo jumbe ameshaziandaa ili waandae vuguvugu wainasue zanzibar isimezwe na tanganyika cha ajabu dogo kwa uchu wa madaraka akabeba nyaraka na kuzikimbiza kwa nyerere huo ndio ukawa mwisho wa jumbe katika uwanja wa siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…