when snowball met c6 in Dodoma

mkuu C6 mbona huhadithia about when we met? duhhh, nimeumia bana eh :'(
 
Last edited by a moderator:

Teh teh teh.... mpaka ndugu yangu umeishiwa maneno.... Hapo ss umefungua ukurasa mpya wa jamaa kusakwa kama lulu JF
 
Last edited by a moderator:
wife wa zamani bana una mambo, wewe hata usiposema, ujue nishasema thanks kimoyo moyo

Kumbe ndio maana hata "I love u" zako ulikuwa unazisemea kimoyomoyo....!!! Sasa me ningejuaje kama ulikuwa unazisemea kimoyomoyo?? Dah.. nilibug meeen.......
 
Mamaaaaa.... mbavu zangu mie, hiyo pm si itajaa na kumwagika?? My x C6 zikijaa nifowadie nkusaidie kuzisoma.....

Siku zote Mahawara hawaachani.
Ona sasa wamtamani X wako 6.
Mie wangu hata mshipa wa jicho haunichezi.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…