When P the MC meet Jux - Na Mimi

UngaUnga

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
1,724
1,463
Eh yo shori, alidai mtoko NA MIMI!,

Mradi aonekane kila chocho NA MIMI!,

Club cinema, au beach coco NA MIMI!,

Ili mradi tu nae karuka kopo NA MIMI!,

Nikamwambia sina mkoko LAKINI?,

Uko tayari kutembea kwa ngoko NA MIMI?,

Kajibu yuko radhi awe kushoto YA MIMI!,

Kwenye raha na pia kwenye misoto NA MIMI!,
Kaja gheto kula ukoko NA MIMI!,

Usiku kalala fofofo! NA MIMI!,

Kanikumbatia aote ndoto NA MIMI!,

Nimpige mikasi ili azae mtoto NA MIMI!,

Hajaleta shoobo NA MIMI!,
Yupo cool na hapendi chokochoko NA MIMI!,

Kila night anakesha kama popo NA MIMI!,

Watu wanadai ye ndo kibooko YA MIMI!.

Haala!

Chorus- jux.
BONGE MOJA LA NGOMA Nifah
 
Eeeh bwana japo sijausikia ila hiyo mistari ya chorus nimeipenda.
Weka link watu tupakue ngoma tuburudike mkuu...
Weekend inaanza hii.
 
Eeeh bwana japo sijausikia ila hiyo mistari ya chorus nimeipenda.
Weka link watu tupakue ngoma tuburudike mkuu...
Weekend inaanza hii.
Ingia humu www.tabelltz.com kwenye sehemu ya search andika P The Mc fEAT Jux - NA MIMI. nimeshindwa kuweka link coz natumia SIMU YA TOCHI!
 
P mkali ila unachokosea mwanzisha uzi ni kutaka mchafu moko wa miujiza wakati hao ndugu moja and hip hop is love
 
Tatizo la huyu m to the p, Unga! Unga unamharibu! atateketea kama kaobama!. ni msanii mzuri mno wa rap.
 
Back
Top Bottom