nao hao wa mwendo kasi wafuate sheria. maana wanaendesha utadhania ni emmergcy vehicle.
na sie bado ustaarabu wa kupishana hasa Dar haupo kabisa. twagombea barabra kama kitoweo
Watumie ustaarabu mkuu zitaisha mapema sana kwa hizi ajali ambazo madereva wa mwendo kasi wanaweza kuziepuka.Treni tunajua breki zake ni za mbali lakini hiyo gari inaweza kusimama wakati wowote.
Sijuwi kama watanzania tuna record nzuri ya utunzaji, jalafu bado mnataka bajeti ya maendeleo iongezwe wakati hela nyingi uwekezwa kwenye ukarabati(maintenance) badala ya kuwekeza kwenye new project kwa kuwa uharibifu umekithiri watanzania tubadilike
Waafrika bhana jamaa mweusi kama ugolo lkn anajita Mshirazi,kwa wasiojua Washirazi ni watu ktk Irani kama Rostam Aziz waliohamia Zanzibar zamani sana, sasa wewe niga na Uirani wapi na wapi?? Hivi huyo jamaa akienda irani akawaambia wa Irani kwamba yeye anatoka Irani watamuonaje?? hivi ni nani alituloga jamani??!
Sisi Waafrika kweli ni ngozi ya tako yaani ili mradi aukane Uafrika wake tu atasema chochote kile ndiyo ya akina maalimu Seif mtu mweusi kama ugolo lkn kutwa kujiita Mwarabu wakati akienda Saudi watamwita (Seif) abdi maana yake mtumwa!