When Man uses your Email for Facebook, what can you do but...!

When Man uses your Email for Facebook, what can you do but...!

Mtangoo

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2012
Posts
6,163
Reaction score
5,624
He Did sign facebook account and used my email.
Khaa! I changed password. If you are a member here then come back with 10 reasons and I will take it back to you.
I will not misuse it but definitely going to delete it!

Here are info:
http://www.facebook.com/peter.godfrey.75436

I give it a week and I'm going to delete account!
 
Haiwezekani maana inabidi u confirm kwa kupitia link ndani ya email

Ni kweli lakini:
1. Huyo Jamaa simjui na mimi sina FB account
2. Hizo Taarifa zimekuja kwa email yangu, sikuzitafuta
3. Akaunti ilishaanza kutumika tangu march 28 mwaka huu.

Kwa kuwa sitaki kuwa na akaunti active facebook, nitaifuta tu weekend hii kama atakuwa bado hajajitokeza na sababu 10 🙂
 
Spam hizo. Halafu nakushauri usidisclose anuani yako ya email cause watu si wazuri ukijisahau ukamaliza mwezi hujacheck inbox utakuta message debe zima za matangazo ya biashara na mambo mengine ya ajabu ajabu ya utapeli. Mi siku hizi nimekoma zamani nilikuwa naona kama ni ujiko flani kuweka wazi email yako kumbe ni shida tupu.
 
Spam ina akaunti working facebook? How??
Kama hauko kwa phonebook matangazo yanaishia Spam folder....Select All...Permanent delete!
 
BTW nimeamua tu kuifuta....atafungua nyingine baada ya mwezi!!
 
[h=2]Your account is still scheduled to be deleted[/h]
All of your account information and photos are scheduled to be permanently deleted. If you want to keep your account, please log into Facebook before Friday, May 3, 2013.
 
Back
Top Bottom