When love is just not enough

destiny1 ,swali lako nitalijibu kama ifuatavyo;
'
Kwa mujibu wa Biblia,binadamu ameletwa duniani kuishi,haya mengine ni mahangaiko yetu tu.
'
Wakati Mungu anamuumba mwanadamu hakusema kuwa akafanye hiki au kile bali akaishi tu
'
Tumekuja duniani kuishi tu!
 
Last edited by a moderator:
zion Doughter ,Upendo ni hali au hisia ya kumkubali mtu bila masharti(sio mapenzi)
'
Kumkubali mtu bila masharti kuna maana ya kumkubali kwa kuwa ni binadamu tu.
'
Yaani kuishi na binadamu wenzetu bila kubaguana kwa vivuli vya ndugu,rafiki,maskini,tajiri,mweupe,mweusi n.k.
'
Yaani unapomwangalia mtu unauona ubinadamu wake na sio pesa,rangi,n.k.
'
Kwa kifupi huo ndio upendo binti sayuni!
 
Last edited by a moderator:

Ameen mtumishi, pamoja sana!!
 

This is becoming even more interesting Da Asha, so what we need might not necessarily be love yani just love, but matendo yatakayotufanya tujisikie we are loved..... maana unasema mwingine anakupenda lakini haonyeshi, na mwingine anakupenda kidogo lakini anaonyesha mpaka unahisi yeye ndio anakupenda sana..... very interesting ok.
 


Juu ya Love... What we do is kujaribu tu kuelekezana to our best of knowledge... BUT ukweli unabaki kuwa it is the one thing of which mwanadamu haweza akaja na definition na ikawa universally applicable kwa sentensi ya kumeza kila ambacho love entails. Pamoja saana Denstiny.... All the best katika your journey of understanding it.
 
Love Equation.... (kwa mtizamo wangu; Source Mimi mwenyewe)

Love = (personal attachment + strong affection)___
.......(betrayal + disappointments + negative issues)

Therefore Enough Love is when negatives issues, betray and disappointments are less than the feelings of personal attachment and affection..

But when the disappointments are more than the affections love will approach zero (die) but sometimes affection and attachment is so large a value than even with disappointments and betrayals the value of love is still great (e.g. of this is motherly love) but in couples normally when values at the denominator are more than nominator prepare for divorce or kibuti.

Enough Love = (personal attachments) > (disappointments)
Need more Love = (personal attachments) < (disappointments)
No Love = dissapointments
 
Kwenye mavurugu ya mapenzi(sio upendo) huko nako kuna matatizo mengi sana
'
Ili uyafurahie mapenzi ni lazima uwe unajipenda mwenyewe.Usipofanya hivyo utaona kila mtu anakuchukia tu.
'
Kila mtu ana njaa ya kupendwa na yeye akiwa hayuko tayari kutoa upendo.Kazi sana.
'
Wewe una njaa ya upendo unatarajia ushibishwe na mwenzako,nae ana njaa kama wewe na anasubiri wewe umshibishe,wote mnasubiriana,muda unaenda,mnagombana na kila mmoja anamlaumu mwenzake hampendi.
'
Mnaishia kuchukiana!
 

Thanks sana.
 
Tuambie kuhusu haya mapenzi ya kibinadamu Tetra, God's love is with no doubts always there and enough.

Sometimes inauma unawapenda na kujali watu wengine wanaona unajipendekeza.
KUNA kumpenda mtu kimapenzi then ana uona just for granted.
TO LOVE BUT LOVE IN VAIN
 

Ubarikiwe sana mkuu, naona ulienda kabisa shule kupata huu utirio.
 
Basically, this is very tru Kaunga. Lakini je, umewahi kujihisi kuwa the love that sorrounds you is enough that you dont need 'particular love'??

I can always do with more love, hata kama sifeel kupungukiwa! It is great feeling to know that you are adored! LOL
 
Mapenzi yangu kwa mwenzi wangu bado hayajaisha coz tunapendana na kuheshimiana na mwenzi wangu.
Cha msingi ni kuliendeleza penzi letu ili liweze kustawi kwa hali ya juu, japo kuna watu wanapanga kulishambulia or kulipulizia dawa ambayo sio nzuri ili lisiweze kumea na kuzaa matunda mazuri ambayo kila mtu akiyaona atakubali yaliomo kati yetu.

Ingawa yanatokea yote haya ila bado Mwenyezi Mungu anatupigania na kutulinda kwa wale watu wabaya kama sio wazushi, maisha yanaendelea vizuri na mafanikio yanaanza kuonekana, japo sio saaana ila kidogo tumepiga hatua.
 

Very true yani!
 
Upendo ni kujitoa kwa ajili ya mwingine
Ok. Selfishness sijui nani kaiepuka na sijui tutaiepeuka vipi.Nadhani kila mtu anakiwango cha ubinafsi ila tumezidiana.Kwa maana yako ya Upendo ni kujitoa basi Upendo duniani ni muujiza...Note:Bible imesema hata unaweza ukajitoa lakn ikawa bado sio upendo...1kor 13
 
Kwa mimi Love is enough

God knew me before I was made, He loved me and I was created

Out of the Love my parents shared I was conceived as a fruit of their Love.

As I look at her(my wife) The Love that God gave to men is vivid in us and as we wait for the fruits of our Love we know Love is the Reason for every good that this world has ever seen.
 
I think there are different kinds of love and one kind cannot totally fulfill the needs of the other kind.
And it all liases with the needs we have.
*Love of God is incomparable. This arises from the needs to find spiritual fulfilment.
* the need to be loved by a spouse cannot be substituted by family etc.
Types of love can also be deduced from the nature of its expression and it is unique. Mfano, spiritual love can be characterized by worship, your partners love can be characterized by cuddling, kissing, etc.
 

Uko sawa @ Zion daughter...ubinafsi ndio umekuwa kipimo cha utu.Ukiwa mwema watu wanakushangaa.
THE BEST WE CAN DO IS TO BE faithful TO OUR DEEDS WE CONSIDER TO BE LOVE
 
Nimekubali.Ahsante
 
Last edited by a moderator:

Hahahahah
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…