Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,354
- 35,915
Jeshi la ethiopia uwa linaingia mpk ndani ya kenya kutembeza kichapoNinyi hamuelewani na nchi nyingi za Africa kutokana na kujifanya wajuaji sana, kutoelewana na watu au nchi zingine haina maana kupigana au kufungiana mipaka.
Kitendo cha kusuguana na majirani zenu karibu wote wanaowazunguka, iwe ni serikali kwa serikali, au wananchi kwa wananchi ni dalili ya wazi kwamba Kenya na wakenya kwa ujumly sio watu wazuri.
Uganda mahusiano yenu ni mabaya kati ya serikali na serikali na wananchi kwa wananchi (Migingo), Somalia ni serikali kwa serikali,. Ethiopia ni wananchi kwa wananchi. South Sudan ni serikali kwa serikali. Burundi, ni serikali kwa serikali. Tanzania....
Duh! Nyinyi ndio mnayo?Ila wakenya hamna swagger. Case closed
Duh! Nyinyi ndio mnayo?
You only have S.W.A.G that's why you are laggards.
Watanzania hatuna roho mbaya, labda WachagaWakenya hatuna Roho mbaya kama Tz
Hata huna haya ukitutukana mbwa. Nyie mnajiweka kwa category gani kama sio mbwa vilaza?
Which school did you attend in Kenya?
Tatizo ni roho mbaya na ubaguzi, wenyewe kwa wenyewe wanabaguana, wataachaje kuwabagua raia wa nchi nyingine?. Yule jamaa wa Ghana (MAYA) uliona jinsi alivyolalamika kuhusu wakenya walivyomfanyia?Okay serious saivi tuache masihara please.
Mimi nimeishi sana na wakenya kuanzia shule ya msingi nmekua na walimu wakenya wengi tu, Ukikaa nao uwa wanakua na pride flani ivi over Tanzanians na mimi sioni Kenyans kikubwa mnachotuzidi nashindwaga kuelewa apo
Tujadili hii sasa tuachane na masihara.
Wanafundisha masomo yepi?
Tatizo ni roho mbaya na ubaguzi, wenyewe kwa wenyewe wanabaguana, wataachaje kuwabagua raia wa nchi nyingine?. Yule jamaa wa Ghana (MAYA) uliona jinsi alivyolalamika kuhusu wakenya walivyomfanyia?
hii vita ya maneno ya Ktz na Ky sijui itaisha lini, but ukweli ni kwamba haijalishi utaifa watu huvutiwa na msanii husika na si vinginevyoWakenya hatuna Roho mbaya kama Tz
Ni kweli uliyosema, ila na ninyi inabidi mjitafakari, otherwise mtaendelea kubaguana kwa missingi ya ukabila na crime rate itaongezekaChunga usiugue ugonjwa wa moyo na presha kisa kuwaza wakenya. Rabana ndiye ajuaye roho za binadamu. Ni vibaya kuhukumu watu na wewe bado ni wa kuhukumiwa. Acheni kukalia kiti cha Jalali
Hili nalo neno, safi sana. Alafu sio vita jombaa ni utani tu. Ila kuna watu wengine hapa wameichukulia vingine hadi wanakunja ngumi.hii vita ya maneno ya Ktz na Ky sijui itaisha lini, but ukweli ni kwamba haijalishi utaifa watu huvutiwa na msanii husika na si vinginevyo
Hili nalo neno, safi sana. Alafu sio vita jombaa ni utani tu. Ila kuna watu wengine hapa wameichukulia vingine hadi wanakunja ngumi.
Namaanisha subjects kama sayansi, kimombo n.k
Walimu wa Kenya wanafunza haya yote? Nauliza kwa sababu kuna mbongo aliyesema wanafunza English peke yake
from your point of view then kanye west is kenyan and leo fedinard is ugandanWhen his Kenyan biological father went to visit America and made obama.Nyinyi mnamjua leo ju alikua Président. Sisi tumekuwa na yeye from child hood. He frequently visited his hometown long before anybody knew him.
Najua uwivu inakumaliza[emoji24][emoji24][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 919783View attachment 919784
Obama ni mkenya?
Ukabila upo Kenya na unaletwa na siasa. Kizazi kinachokuja kitaumaliza kwa sababu wengine hata hawajui lugha,mila na utamaduni wa kabila zao na kadri miaka iongezekapo ndio mila zinazidi kusahaulika