Kitabu hiki kimewaacha uchi mabeberu na mipango yao ya kuzikamua nchi masikini hasa za Asia na South America
Miradi mingi tunayoletewa hasa ya umeme na nishati ni majanga
Kiongozi atakayeonyesha uzalendo wa kulinda rasilimali za nchi yake(KIUKWELI SIO KISANII) anashughulikiwa kwa kuchochea uasi dhidi yake au hata kupandikiziwa magonjwa ikiwemo kansa