Salaam ukiwa msomi kidogo tu mambo ya IT utajua la kufanya labda nikusaidie kidogo kwanza kabisa futa whatsap halafu ingia katika file foder limeandikwa my file utakuta folder limeandikwa WhatsApp pia hilo file lifute kabisa. halafu Zima simu uwashe tena. ukisha washa sasa install Orignal whatsap ingiza namba yako halafu fanya chati na mtu wowote kidogo lazima na yule mtu akujibu chochote. baada ya hapo futa whatsap original halafu ndio install whatsap plus lazima namba yako ile ile usibadili. Nashukuru