Whatsapp yangu imefungwa naomba msaada

GB, FM na izo WhatsApp nyingine tofauti na official WhatsApp na WhatsApp business ni illegal coz sio apps za kampuni ya meta. So ukizitumia sometimes wanakufungia ili utumie WhatsApp ambayo ukiifungua inaonyesha nembo(logo) ya meta. So futa izo JB, FM na izo application nyingine za WhatsApp ambazo sio za kampuni ya meta.
Chakufanya: backups chats zako futa iyo WhatsApp yako alafu pakua WhatsApp inayopatikana play store na app store Kisha restore your backups.
 
Umeandika Kingereza cha kishenzi sana unatakiwa KUFUNGIWA MILELE NA MILELE AMINA.

Majibu yote umeshapewa ila tatizo kizungu mwanangu!

Cc: Cute Wife

Extrovert
 
Umeandika Kingereza cha kishenzi sana unatakiwa KUFUNGIWA MILELE NA MILELE AMINA.

Majibu yote umeshapewa ila tatizo kizungu mwanangu!

Cc: Cute Wife

Extrovert
Ujinga wa mwafrika huwa unaonekana hapa. Mwafrika akijua kusoma na kuandika kiingereza na wengine wakashindwa yeye anajiona ni sahihi sana na ni mkamilifu 100%.
Mwenye lugha yake amemuelewa na amemuandikia maelezo yaliyojitosheleza lakini wewe ambaye siyo lugha yako umemcheka.
Na wewe tukucheke kwasababu umechanganya kati ya herufi kubwa na ndogo ambapo katika lugha ya kiswahili siyo sahihi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…