WhatsApp yangu haitaki kuclear data

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,566
Reaction score
8,325
Wataalamu naombeni msaada, app ya Whatsapp haitaki kuclear data, Ina mb 400 nikiclear data zinabaki vilevile, nimejaribu kuifuta na kuidownload upya lakin bado shida iko pale pale.
 
Wataalamu naombeni msaada, app ya Whatsapp haitaki kuclear data, Ina mb 400 nikiclear data zinabaki vilevile, nimejaribu kuifuta na kuidownload upya lakin bado shida iko pale pale.
Whatsapp data ni picha zako, sauti, video, backup etc. Una uhakika unataka kuzifuta?
 
Wataalamu naombeni msaada, app ya Whatsapp haitaki kuclear data, Ina mb 400 nikiclear data zinabaki vilevile, nimejaribu kuifuta na kuidownload upya lakin bado shida iko pale pale.
Kukushauri tu ni bora ununue simu yenye storage kubwa, ukiendelea na hizi simu za GB 32 au 64 basi weka backup ya external storage, otherwise kwenye simu usiweke whatsapp,TikTok, Facebook etc maana itakuwa inakukera kila siku kwa kutumia nafasi kubwa kwenye simu.
 
Whatsapp data ni picha zako, sauti, video, backup etc. Una uhakika unataka kuzifuta?
Mkuu, nimefuta vitu vyote nilivyotumiwa via WhatsApp lakini tabu uko palepale
 
Ni kweli ukiweka external storage simu inakuwa slow?
 
Mkuu, nimefuta vitu vyote nilivyotumiwa via WhatsApp lakini tabu uko palepale
Umefuta unavyoviona kama picha, sauti, video etc ila kuna data kama Backups huwezi zifuta kirahisi.

1. Fungua file manager shuka chini tafuta folder la whatsapp ingia utakuta data za Whatsapp humo. Folder la Media ndii vitu unavyosema umefuta pia humo kwenye media angalia folder la sent kunakuwa na picha ama video zisizo na kazi humo.

2. Kama hutakuta kitu kwenye hilo folder siku hizi whatsapp pia inasave vitu kwenye folder la Android kisha Media
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…