Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,293
- 2,620
Watumiaji wa Whatsapp kwa upande wa beta version kuanzia Kwenye android, iOS na desktop muda sio mrefu wataweza kukutana na feature mpya ya Akili bandia Kwenye Whatsapp.
Kampuni ya Meta wanaleta akili bandia ambayo imeundwa na Meta Kwenye mitandao ya Instagram, Whatsapp na Messenger.
Kwenye Whatsapp sasa utakutana na akili bandia ambayo itakusaidia Kwenye masuala ya kuchati ,kutoa ufafanuzi wa jambo Fulani,kuuliza maswali, kuandika ujumbe, documents, nyimbo nk.
View attachment 2770273
View attachment 2770272
Mfumo utakaotumika Kwenye hiyo akili bandia ni mkubwa ambao unauwezo mzuri wa kutoa majibu ya maswali mbalimbali pamoja na kuzungumza na mtu kwa sauti au ujumbe Kama vile unachati na mtu mwingine.
Whatsapp wataweza kutumia agents mbalimbali wa akili bandia kama vile Mr beast,snopp dog dog,Paris Hilton utaweza kusikia sauti mbalimbali kama unazungumza na mtu mwenye ufahamu mzuri.
Utakua na uwezo wa kutumia Kwenye private chati au groups.
View attachment 2770274