๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐—ป๐—ท๐—ถ๐—ฎ ๐—ฟ๐—ฎ๐—ต๐—ถ๐˜€๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚ ๐—น๐—ผ๐—ด๐—ถ๐—ป

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,221
Reaction score
2,425
View attachment 2784213

Kampuni ya Google imeleta njia rahisi ya watu kuweza kutumia mfumo wa passkey kuweza ku sign in Kwenye app mbalimbali kwa urahisi kupitia simu au kompyuta.

Rasmi mfumo wa passkey unapatikana Kwenye app ya Whatsapp Sasa watumiaji wa Whatsapp wataweza kuingia Kwenye akaunti zao za Whatsapp kupitia passkey.

View attachment 2784214

Passkey ni mfumo mpya ambao ni rahisi kutumia kuliko password kwani watu watakua na uwezo wa kuingia Kwenye mitandao yao ya kijamii au akaunti mbalimbali za Gmail, icloud nk kupitia fingerprint, face id na pin bila kuweka password.

Alice Newton Rex Manage wa product Whatsapp amesema "Sasa watumiaji wa Whatsapp watakua na uwezo wa kutumia fingerprint, pin code au Face id kuweza kuingia Kwenye akaunti yao ya Whatsapp bila kutumia password."

View attachment 2784216

Ingia setting Kwenye Whatsapp>> account>> passkey>> Utaweza kutengeneza passkey Yako utakua unatumia kila unapo login Kwenye Whatsapp.

whatsapppass%20%E2%80%93%203.jpg
 
Mbona mimi toka 2021 natumia face ID kuingia kwenye social network karibia zote kwa Iphone 12
 
View attachment 2784213

Kampuni ya Google imeleta njia rahisi ya watu kuweza kutumia mfumo wa passkey kuweza ku sign in Kwenye app mbalimbali kwa urahisi kupitia simu au kompyuta.

Rasmi mfumo wa passkey unapatikana Kwenye app ya Whatsapp Sasa watumiaji wa Whatsapp wataweza kuingia Kwenye akaunti zao za Whatsapp kupitia passkey.

View attachment 2784214

Passkey ni mfumo mpya ambao ni rahisi kutumia kuliko password kwani watu watakua na uwezo wa kuingia Kwenye mitandao yao ya kijamii au akaunti mbalimbali za Gmail, icloud nk kupitia fingerprint, face id na pin bila kuweka password.

Alice Newton Rex Manage wa product Whatsapp amesema "Sasa watumiaji wa Whatsapp watakua na uwezo wa kutumia fingerprint, pin code au Face id kuweza kuingia Kwenye akaunti yao ya Whatsapp bila kutumia password."

View attachment 2784216

Ingia setting Kwenye Whatsapp>> account>> passkey>> Utaweza kutengeneza passkey Yako utakua unatumia kila unapo login Kwenye Whatsapp.

View attachment 2784217
Hii mbona toka kitambo tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom