😂😂Tuanzie hapa, simu ambazo ukiweka sim card yenye contacts, zile contact hazidisplay. Na naskia wamekosana na Meta hao jamaa licha ya kuwa wameomba msamaha
😂😂Reply itakayofuata hapa ni ya njoo PM. Huko PM kuna mtu atapigwa za uso mpaka ashangae, kesho tutakutana na uzi wa dhuruma. Hata kama mtu alitoa buku, utaskia, nikamtumia 100k
Kama umewahi kutumia WhatsApp feki au apk zozote zengine ambazo haukuzipata Play store moja kwa moja kuna uwezekano watu wanatumia namba yako kutuma spam whatsapp. Minimum cha kufanya ni kupiga reset simu yako na usidownload apk zisizoeleweka tumia WhatsApp na app zote kwa ujumla kutoka Playstore.
😂😂Reply itakayofuata hapa ni ya njoo PM. Huko PM kuna mtu atapigwa za uso mpaka ashangae, kesho tutakutana na uzi wa dhuruma. Hata kama mtu alitoa buku, utaskia, nikamtumia 100k