Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,221
- 2,425
Watumiaji wa Whatsapp muda sio mrefu mtaanza kukutana na mabadiliko mapya kwenye program ya Whatsapp baada ya ripoti mpya toka Wabetainfo kuwa Watumiaji wa Whatsapp wataanza kupokea matangazo upande wa Status.
๐จ Sasa Watumiaji wa Whatsapp wataanza kupokea Mabadiliko kadhaa;
โ Whatsapp wametambulisha channel subscription ambapo inampa uwezo mtu ambaye ameunda channel kwenye Whatsapp kuweza kuweka option ya watu kulipia ili kuweza kupata exclusive content toka kwenye hiyo channel ambapo watu watakua wanalipia kwa mwezi.
โ Pia Whatsapp ๐๐ฎ๐บ๐ฒ๐๐ฎ๐บ๐ฏ๐๐น๐ถ๐๐ต๐ฎ ๐๐๐ฒ๐๐ผ ๐๐ฎ ๐๐ฎ๐บ๐ถ๐น๐ถ๐ธ๐ถ ๐๐ฎ ๐ช๐ต๐ฎ๐๐๐ฎ๐ฝ๐ฝ ๐ธ๐๐๐ฒ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ณ๐ฎ๐ป๐๐ฎ ๐บ๐ฎ๐๐ฎ๐ป๐ด๐ฎ๐๐ผ ๐ถ๐น๐ถ ๐ธ๐๐ถ๐ณ๐ฎ๐ป๐๐ฎ ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ป๐ป๐ฒ๐น yake iweze kuonekana zaidi kwa watu wote na kuweza kujitangaza duniani kwa urahisi kama ilivyo kwenye Instagram nk. yake iweze kuonekana zaidi kwa watu wote na kuweza kujitangaza duniani kwa urahisi kama ilivyo kwenye Instagram nk.
โ ๐๐ก๐๐ญ๐ฌ๐๐ฉ๐ฉ ๐ฐ๐๐ฆ๐๐๐ง๐ณ๐ ๐ค๐ฎ๐ฐ๐๐ค๐ ๐๐๐ญ๐๐ง๐ ๐๐ณ๐จ ๐ฌ๐๐ก๐๐ฆ๐ฎ ๐ฒ๐ ๐๐ญ๐๐ญ๐ฎ๐ฌ ๐๐ข๐ข ๐ง๐ข ๐ง๐ฃ๐ข๐ ๐ฆ๐ฉ๐ฒ๐ ๐ฒ๐ ๐ฐ๐๐๐๐ง๐ฒ๐๐๐ข๐๐ฌ๐ก๐๐ซ๐ kuweza kuwafikia wateja zaidi kupitia matangazo yatakayojitokeza upande wa Tab ya Status. Matangazo hayo yameundwa kwa uwangalifu kwa kuzingatia faragha (privacy).
Kuonyesha matangazo bado Watumiaji wake wataendelea kuwa salama kwani unaweza kuwasiliana na mtu ambaye ametuma tangazo lake na ukaliona bila namba yako ya simu kuonekana pia Tangazo litaendana na mtumiaji wa Whatsapp amechagua nini kuanzia
๐จ Nchi au mji
๐จ Lugha
๐จ Channel ulizo zi follow
๐จ Vile ambavyo Utaweza ku interact unapokutana na matangazo kwenye akaunti yako.
Kwaiyo kuanzia sasa ukianza kuona matangazo kwenye Whatsapp yako usije kuanza kushangaa..๐๐