WhatsApp waja namuonekano mpya

Naona lengo lako ni kutuambia una rafiki Norway, acha ushamba. Haya tuambie huyo Nill ni wa kike au wa kiume?
Mbona unaleta ushamba wako wa Itilima hapa! huyo Norway ni jina la mtu au hujui Kuna Njombe na Filikunjombe maana zikiwa tofauti.
 
maneno meng akuna nenda play store update upate uondo me binafsiii nimeipenda[emoji106] [emoji106]
 
wamenifurahisha hii feature ya End to End. hapa hakuna cha tcra wala cybercrime kudadeki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…