Sio kweli mkuu. me natumia Tecno double line ya android nimedownload na natumia Whatsapp tena latest version pia natumia Skype kwa video calls na kakao messenger. Kama yako umeshindwa sio zote
wewe una simu gani? si simu zote hata mchina wa double line inasupport, ila hoja ilikuwa ni kumpinga huyo ndugu aliesema simu zote za laini mbili hazikubali whatsapp na samsung wana duos zenye java na android os lkn android ambayo ni dual simcard ya kuanzia version 2.2 froyo inakubali hiyo application. wewe kama unataka kununua au unayo simu weka model yake hapa usaidiwe maana huwezi pata ufafanuzi wa kila simu
kuna mtu kaniambia kuwa yeye ana asha 200 na ameinstall whats app. Nilipomuuliza akasema kaingia ovi store na kaipakua!
Though it sounds a bit impossible, @ least u can give it a try!
NB: mimi sijaprove hii kitu, so m not sure!