FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,530
- 46,614
Uzalendo wa bidhaa za nyumbani..! Kati ya hayo makampuni yanayotoa huduma hizo (tigo, airtel, voda, zantel, smart n.k) ni ipi ya kitanzania?Kuna watu wengine ni wapuuzi sana.., yaani wanaweka WTF ndio iwe bure lakini kwa akili zao fupi hawaoni kabisa haja ya kukipa kitu cha nyumbani JF nacho kiwe bure walau kuonyesha Uzalendo kwa bidhaa hii adhimu ya JF..,tena ya kwetu sio ya kuletewa kama hiyo what the ----kweli hawa watu!. JF iwe bure vinginevyo nagoma tena!
Uzalendo wa bidhaa za nyumbani..! Kati ya hayo makampuni yanayotoa huduma hizo (tigo, airtel, voda, zantel, smart n.k) ni ipi ya kitanzania?
du bt mi cjaelewa whtsap na facebook bure kvp yaan,so utumi MB au naomben msaada
Ungejua wanafanya hivyo kwa malengo gani, ungekuwa na haki ya kusema ni wapuuzi.
Hajui lolote huyo.., aliwashwa tu kuchangia..Mkuu hebu funguka... Wana malengo gani???
Tena kama vipi iwe ya kulipia kifurushi kila mwezi 30,000/= ili tusiwajazie server humu.
Mfano ni kama ulivyoharisha hapa.., chawa eeh..Uhuru wa kutoa maoni unatumika vibaya sasa
Ndugu yangu bora iwe hivyo hivyo, wakiweka JF bure tutapata vichwa vya kila aina humu kutokea kule facebook na kuwa Jamii Book na siyo JF tena. Na huenda wenyeji wote wakakimnbia humu.