Nikiona mwanaume yupo hivyo kama nilikuwa nam admire basi upendo unapotea shwaaa😂
Umekurupuka,soma vizuri nilichoandikaMtu simu yake, WhatsApp yake, data zake, kila kitu chake halafu bado unataka afanye unavyotaka wewe, una akili timamu kweli?
Siwezi kuview zote,WHy did you watch it
Nimeview chache tu,ila nimute updatesMbona umeview![]()
Kama hivyo sawaNimeview chache tu,ila nimute updates
wabongo bhanaTabia ya kufuatilia mambo ya mtu alafu unataka afanye unavyowaza ww ni dalili za upotevu wa mirinda nyeusi
na wewe unapata wapi muda wa kusoma status
Sisi ndio sisi wengine mafisi cha msingi kila mtu ana uhuru wake usikwazike kwa matendo yake wakati hayakupunguzii chochote alafu cha ajabu umemsave boss inamaana ww ni chawa mdogo usiwe na makasiriko kwa yeye kukuzidiwabongo bhana
Duuh sawa mkuu nimekupataSisi ndio sisi wengine mafisi cha msingi kila mtu ana uhuru wake usikwazike kwa matendo yake wakati hayakupunguzii chochote alafu cha ajabu umemsave boss inamaana ww ni chawa mdogo usiwe na makasiriko kwa yeye kukuzidi
Watu wa ajabu sanaMtu simu yake, WhatsApp yake, data zake, kila kitu chake halafu bado unataka afanye unavyotaka wewe, una akili timamu kweli?