WhatsApp safi sana kwa hii Update waliotoa

WhatsApp safi sana kwa hii Update waliotoa

Zero Hours

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2011
Posts
12,942
Reaction score
18,691
e2cb4b8b8611279d75e94a8498c94dfc.jpg

Asante sana Whatsapp kwa kusikiliza vilio vyetu kwa wale wanaopenda Privacy maana TCRA walikuwa wanataka kufika mbali.
 
Bado.sheria ya mitandao inawapa haki polisi kukulazimisha kutoa no ya siri kwao kuangalia.
 
kwa hiyo saivi nkitaka kutumia whatsap ya mpen wang kwa sim nyingne sitaweza baada ya kuichukua ile security code?? nimejaribu kwa lumia yngu ikashindikana
 
kwa hiyo saivi nkitaka kutumia whatsap ya mpen wang kwa sim nyingne sitaweza baada ya kuichukua ile security code?? nimejaribu kwa lumia yngu ikashindikana
Hapana mkuu, hilo linawezekana. ukishapata security code unaweza kutumia whatsapp hata kwa simu nyingne. Swala lako ni tofauti.
 
Hapana mkuu, hilo linawezekana. ukishapata security code unaweza kutumia whatsapp hata kwa simu nyingne. Swala lako ni tofauti.
Maelezo plz, hivi hii inakuwaje kuweka encryption kati ya user to user, procedures plzzzz
 
Maelezo plz, hivi hii inakuwaje kuweka encryption kati ya user to user, procedures plzzzz
swala la encryption ni wewe ku update whatsapp yako. kwa hyo kama unaechat nae ameupdate whatsapp yake, the conversation is automatically encrypted.
 
Tafadhali nielekeze hiyo mbinu vizuri mkuu
Labda hatujaelewana vizuri mkuu, whatsapp number unayotumia sio lazima iwe ya line ambayo iko kwenye hiyo simu. Mfano, line inaweza kuwa kwenye nokia tochi ambapo itatumwa security code, hiyo code utaitumia kwenye smartphone unayoweka whatsapp.
 
Back
Top Bottom