Whatsapp plus

mwachewangu

Senior Member
Joined
May 4, 2011
Posts
111
Reaction score
41
Helo,

nani amewai kutumia whatsapp plus, je iko poa na inaingiliana na old version ya whatsapp
 
naitumia karibu wiki1 sasa wala sijaona tofauti na ya zamani mkuu.inapiga kazi kama old tu
 
Ina nini cha ziada..?? Hili ndo swali

naitumia karibu wiki1 sasa wala sijaona tofauti na ya zamani mkuu.inapiga kazi kama old tu

Whatsapp+ ina option ya ku-hide Last seen kabla official whatsapp hawajaiweka na hii nfo imeipatia umaharufu sana hii app...

Ni kweli inafanya kazi sawa na whatsapp ya kawaida lkn iko vizuri kuizidi whatsaap official maana unaweza pia kubadili muonekano(theme) wa whatsapp yako na kuifanya ya pekee na ya kuvutia

Mengine yataongezwa
 
@njuwa wamavoko mimi nakuomba sana msaada wako nielekeze namna ya kuinstall maana nimejaribu sana nimeshinda, ebu nipe matumaini tena ya kujaribu
 
@njuwa wamavoko mimi nakuomba sana msaada wako nielekeze namna ya kuinstall maana nimejaribu sana nimeshinda, ebu nipe matumaini tena ya kujaribu

kama hauja root simu basi nenda Whatsapp official afu tafuta SETTINGS>>>>>CHAT SETTINGS
afu fanya backup ya conversations na settings zako

Baada ya hapo Uninstall afu install whatsapp+

Kama ni Android Super User i.e ume-root simu basi install Titanium backup afu fanya backup ya app ya whatsapp na settings zake baada ya hapo install whatsapp+ usiifungue kwanza ila tu ifungue Titanium backup tena afu fanya RESTORE settings za whatsapp afu ifungue whatsapp+ itaanza kufanya kazi
 
samahani sana mkuu ebu nenda hatua kwa hatua ili nikuelewe vzr, simu yangu iko rooted
 
Msaidie jamaa nasi tufaidike
 
@njuwa wamavoko now na install Titanium back up, kwa maelezo yako nikisha install Titanium backup na backup setting zote za official whatsapp, nikimaliza hiyo whatsapp naifuta? au mpaka nidownload whatsapp+ ndo niifute ile old? karibu kwa ufafanuzi
 
mkuu njia rahisi niliyotumia mimi kwanza kabisa niliunstall iliyokuwemo kwenye simu halafu whatsapp+ nikaenda kuitafuta ktk opera min. baada ya kudownload utaruhusu open unknown resource ili uweze kuinstall whatsapp+. baada ya hapo endelea kuinjoi
 
backup afu uninstall official
afu install hiyo moded whatsapp
 
Hata ile original ina option ya ku-hide last seen....
Labda zungumzia kuhusu theme mkuu!!
 
Hata ile original ina option ya ku-hide last seen....
Labda zungumzia kuhusu theme mkuu!!

nafikiri ni matatizo ya comprehension tu...
Nimesema kabla ya official whatsapp kuweka hii option ilikuwepo kwenye whatsapp+ pekee na ndo imeipa umaharufu

Re-read my comment
 
mkuu njia rahisi niliyotumia mimi kwanza kabisa niliunstall iliyokuwemo kwenye simu halafu whatsapp+ nikaenda kuitafuta ktk opera min. baada ya kudownload utaruhusu open unknown resource ili uweze kuinstall whatsapp+. baada ya hapo endelea kuinjoi

Unatumia sim gan?
 
aisee nimejaribu lakini imenigomea kabisa

1.Install officiall whatsapp afu chat na mtu au watu
2.Fungua titanium back afu uback up data za official whatsaap
3.Uninstall officiall whatsapp
4.Install whatsapp+ and dont bother to open it
5.Fungua tena titanium back up afu fanya ku-restore DATA Only baadhi picha chini zitakusaidia wakati unafanya ku restore data
 
Attachments

  • 1401966743609.jpg
    25.7 KB · Views: 128
  • 1401966767981.jpg
    30.2 KB · Views: 118
nafikiri ni matatizo ya comprehension tu...
Nimesema kabla ya official whatsapp kuweka hii option ilikuwepo kwenye whatsapp+ pekee na ndo imeipa umaharufu

Re-read my comment

Hapo ndo umeeleweka!!... na wala sio hapo juu!....ahsante Mkuu
 
Ahante sana mkuu kwa msaada wako tatizo kwangu hiyo Data only haitokei Inatokea apply only na appl+data natumia tecno m3 sijui tatizo litakuwa wapi?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ