gbwhatsapp mbona inayo hiyo feature ya kushow walio online. ..
kuhusu kudelay baada ya ku activate feature ya kuhide second tick bado tatizo kwa mod zote za whatsapp...kikubwa ni kufuatilia updates mpya huenda itakua fixed.
ila jaribu ku activate ile feature ya always online then ndo ujaribu kuhide second tick..inaweza ikasaidia kidogo nahisi.