Electromagnetism
JF-Expert Member
- Nov 4, 2014
- 482
- 127
Naulizwa tu hivi iPad za apple hazina wahtsapp?
whatsapp4 kwa wakati mmoja??
Naulizwa tu hivi iPad za apple hazina wahtsapp?
Rubby? Na yule au jina tuu
Yaa mkuuwhatsapp4 kwa wakati mmoja??
Nunua simu mbili tu, kama una uhitaji huo.By the way acha kuwapiga watu hizo ishu zimejadliwa humu kama OG n.k
mkuu sio lazima. lakin ni kama unapenda
nimeacha mawasiliano apo juuNataka so tunafanyeje
nimeacha mawasiliano apo juu
Sh ngapi?