Whatsapp kwenye simu za kichina

Whatsapp kwenye simu za kichina

Mbwa dume

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
6,289
Reaction score
10,999
Natumia simu aina ya Bird v280,(ni java ya kichina)
nimejaribu kudownload whatsapp for s40,
inagoma kuinstall naomba msaada!
 
nunua cm yenye uwezo na inayosupport hyo app:juggle:
 
Mnapenda Slop Jaman Mmh Kisimu Chabei 30 Au 50 Unataka Uipate Tsup Jaman Mmh?
Kajipange Mzee Vizur Havi Itaji Papara,
Fb Inakutosha,
 
Huwez kuinstall kwa s.40 hz ni type za nokia we tafuta model ya cmu yako koz wattsapp ina acept cm og tuu
 
Back
Top Bottom