Whatsapp kwenye simu ya Huawei y201

Whatsapp kwenye simu ya Huawei y201

Osaba

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
1,944
Reaction score
810
Niliifunga whatsapp kwenye hiyo simu tajwa hapo juu nikaifungua lakini kila nikitaka kuirudishia inagoma msaada wakuu.
 
nasubiria msaada wenu wakuu
 
Niliifunga whatsapp kwenye hiyo simu tajwa hapo juu nikaifungua lakini kila nikitaka kuirudishia inagoma msaada wakuu.

Uliifunga kivipi?
Au ndo kiswahili cha installation?
 
Back
Top Bottom