Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,272
- 114,526
Shida ni namna walivyo ziweka yani ni kama private groups hazina mvuto.Whatsapp inacopy mambo mengi mpaka inaanza kupoteza ule upekee wake, upekee ndio unafanya utumie mtandao fulani kwa sababu unachokipata humo hakipatikani kwenye mitandao mingine. Inapoteza mvuto, walivyoweka tu channels nimeanza kuiona ya ajabu.
Shida wanaitumia Telegram kama WhatsApp au Facebook ndiyo makosa yanapoanzia hapo.Huwa nashangaa marafiki wanajiunga telegram kwa fujo halafu baadae ukifuatilia unaona seen long time ago nashangaa na kujiambia hawa wamezoea wasap na faceook tu. Uhondo wa huku hawaujui, hawajui kutafuta wanacho kitaka na hawataki kuuliza. Naamua kukausha tu.
Ndio kucopy hakuna ubunifu imeshakuwa kama bbc newsShida ni namna walivyo ziweka yani ni kama private groups hazina mvuto.
Mkuu hata mimi natumia sana Jamiiforums na Whatsup tu.Wanazingua. Kuna vitu vinaipa nafasi ya kipekee hii platiform. Ambavyo ni pamojabna hivi.
Binafsi. Situmii FB wala insta natumia sana JF na Watsup
Hivi telegram huwa kazi yake nini zaidi ya watu kutafuta zile mambo, binafsi nimejiunga lakini hata sijui kwanini nilijiungaPia kuna telegram
Whatsapp inatakiwa ibaki na ule upekee wake kuwa ni simple na inaheshimika. Ila wakianza kuleta mambo ya telegram watapotea na kuoneka hawana manaWhatsapp inacopy mambo mengi mpaka inaanza kupoteza ule upekee wake, upekee ndio unafanya utumie mtandao fulani kwa sababu unachokipata humo hakipatikani kwenye mitandao mingine. Inapoteza mvuto, walivyoweka tu channels nimeanza kuiona ya ajabu.
hahahahahaWakifanya hilo watapoteza ushawishi mkubwa kama ndugu zao telegram
Ushamba wako unatokana na yale MACHANJO yale!!!Hivi telegram huwa kazi yake nini zaidi ya watu kutafuta zile mambo, binafsi nimejiunga lakini hata sijui kwanini nilijiunga
Tengeneza na wewe mtandao wako uuite MACHANJO DOT YAHOOWhatsapp inatakiwa ibaki na ule upekee wake kuwa ni simple na inaheshimika. Ila wakianza kuleta mambo ya telegram watapotea na kuoneka hawana mana
sio "whatsup", ni WhatsApp.Mkuu hata mimi natumia sana Jamiiforums na Whatsup tu.
Washaanza kupoteana tayari, inapoteza mvutoWhatsapp inatakiwa ibaki na ule upekee wake kuwa ni simple na inaheshimika. Ila wakianza kuleta mambo ya telegram watapotea na kuoneka hawana mana
Mkuu ni typing error tu. Ila asante kwa marekebishosio "whatsup", ni WhatsApp.
Hili ni tatizo la kumeza machanjo kwa mkurupuko.
Sometimes huwa napata mashaka na jinsia yako, mwanzo nilidhani wewe ni me. Pia umewahi kujiuliza kwanini kila mtu humu anakudharau?Ushamba wako unatokana na yale MACHANJO yale!!!
Unayakumbuka???
MACHANJO DOT COM 🙈