Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,293
- 2,623
Username is far better than numbers.Kwa upande wangu naona its the dumbest na moja ya sababu kubwa itakayowagharimu. Si kuna facebook?
Pia kuna telegramKwa upande wangu naona its the dumbest na moja ya sababu kubwa itakayowagharimu. Si kuna facebook?
Telegram hii feature ipo miaka mingapi? Em nikumbusheni wakuu [emoji3][emoji3] WhatsApp kipindi hiko walkua wamelala tu..Whatsapp Bado wanamalizia kufanyia marekebisho kadhaa kuweza kuachia feature mpya ya ๐จ๐๐ฒ๐ฟ๐ป๐ฎ๐บ๐ฒ kwa watumiaji wa mtandao wa WhatsApp ulimwenguni kote.
Kupitia repoti yaWabetainfo wamesema watumiaji wa Whatsapp wataweza kuchagua ๐จ๐๐ฒ๐ฟ๐ป๐ฎ๐บ๐ฒ kuweza kutumia kwenye Whatsapp ambapo utakua na uwezo wa kumtafuta mtu kwenye mtandao wa Whatsapp kupitia username.
Utakua sio lazima tena kuwa na namba ya simu Bali kupitia username utakua na uwezo wa kumtafuta mtu kwenye Whatsapp na kuanza kuanzisha mazungumzo. Utaweza kutumia username,Name au Namba ya simu.
Whatsapp wamesema sio lazima tena watu kutoa namba zao za simu kwa ajili ya kuchati kwenye huo mtandao wataweza kutumia username utaweza share username yako kwaiyo itakua rahisi watu kukutafuta kwenye mtandao wa Whatsapp.
Utaikuta Sehemu ya setting Kisha profile alafu utaweza kuchagua username yako kwa ajili ya kutumia kwenye Whatsapp.
View attachment 2830725
Mambo mengi wana-copy kutoka Telegram. Ila Telegram ni nzuri kuliko WhatsApp.Username is far better than numbers.
Walichelewa mno
Tangu nilipoijua Telegram nikiambiwa nichague kati ya Telegram na WhatsApp basi ningechagua Telegram.Wakifanya hilo watapoteza ushawishi mkubwa kama ndugu zao telegram
Wjatsapp limits kibao. Ukisearch kitu eti mpaka kiwe kilishapostiwa na mtu au kundi uliliwahi kushiriki. Telegram unaletewa varieties unajichagulia tuTangu nilipoijua Telegram nikiambiwa nichague kati ya Telegram na WhatsApp basi ningechagua Telegram.
Haya yote huwezi kuyapata WhatsApp
- Video ya Youtube unaipakua kupitia Telegram
- Kipindi unahangaika kupakua vitabu kwenye web, watu watelegram wanakucheka
- Kipindi unahangaika kufuta latest movies au series na kuulizia link za kupakua, watu wanaotumia Telegram wanakucheka kule kuna quality zote mpk HD. Prison break ipo season yote, Breaking bad, SAW X nimeshusha kupitia Telegram, Fast and Furious X, Extraction 2, Evil dead, Nun 2 zote zipo Telegram. Squid Game Challenge ipo Telegram muda tu, latest movies za 2023 zipo Telegram.
- Kipindi unahangaika kupakua application za simu na kuhangaika playstore, watu watelegram tunashusha app kirahisi sana
- Kipindi unahangaika kuulizia wapi nitapakua Microsoft Word, watu watelegram wanakucheka tu.
Ngoja tumuonjesheTangu nilipoijua Telegram nikiambiwa nichague kati ya Telegram na WhatsApp basi ningechagua Telegram.
Haya yote huwezi kuyapata WhatsApp
- Video ya Youtube unaipakua kupitia Telegram
- Kipindi unahangaika kupakua vitabu kwenye web, watu watelegram wanakucheka
- Kipindi unahangaika kufuta latest movies au series na kuulizia link za kupakua, watu wanaotumia Telegram wanakucheka kule kuna quality zote mpk HD. Prison break ipo season yote, Breaking bad, SAW X nimeshusha kupitia Telegram, Fast and Furious X, Extraction 2, Evil dead, Nun 2 zote zipo Telegram. Squid Game Challenge ipo Telegram muda tu, latest movies za 2023 zipo Telegram.
- Kipindi unahangaika kupakua application za simu na kuhangaika playstore, watu watelegram tunashusha app kirahisi sana
- Kipindi unahangaika kuulizia wapi nitapakua Microsoft Word, watu watelegram wanakucheka tu.
Unaweza kumtumia mtu kwa njia ya WhatsApp application yenye mb 20. WhatsApp wakai-block ila Telegram ni rahisi na haraka app anaiona na kuipakua.Wjatsapp limits kibao. Ukisearch kitu eti mpaka kiwe kilishapostiwa na mtu au kundi uliliwahi kushiriki. Telegram unaletewa varieties unajichagulia tu
๐๐๐๐๐๐
Huwa nashangaa marafiki wanajiunga telegram kwa fujo halafu baadae ukifuatilia unaona seen long time ago nashangaa na kujiambia hawa wamezoea wasap na faceook tu. Uhondo wa huku hawaujui, hawajui kutafuta wanacho kitaka na hawataki kuuliza. Naamua kukausha tu.๐๐๐๐๐๐
Telegram ni bando lako tu. Mambo mazuri yapo Telegram na huwezi kujuta kuitumia Telegram maisha yote