huyu Mark mfujaji tu,,,alinunua application ya SNAPTU ilikuwa nzuri kweli lakini yeye akakigeuza kidudu kilichoeleweka,,,,,naamini hata WHATSAPP itapoteza ubora wake
Mr.facebuk amefany ku elimanate chaleng cz hiz network zilikuwa zina take atention ya watu weng san, so fb ilipungua kasi na matumiz juz telegram wakitum ujumbe na kutoa info bot marekebisho bt today ipo down WTF'! chamsing jamiii forum ipo hot sana isiuzwe kwa Mark.