WhatsApp inagoma kuinstall katika iPad

WhatsApp inagoma kuinstall katika iPad

Soki

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
1,303
Reaction score
281
Wadau!

Je, nifanyeje ili kuinstall app hii katika iPad. Nikijaribu inasema account yangu is not valid kutumia store ya US na kunitaka ni switch kwenye Tanzanian store.

Sasa nina switch vipi? Au solution ni nini, au je, whatsApp haiingii kwenye iPad?

thanks
 
Aah nimegundua siyo whatsApp tuu, nimejaribu app nyingine ya bure jibu limekuwa hilohilo. Nini kinaweza kuwa kimetokea wakati nimeshainstall apps nyingi kutoka App store za bure na za kununua?
 
Select Store in iTunes.
Scroll to the bottom right, click the flag ball icon then chagua nchi uliyopo.
 
Select Store in iTunes.
Scroll to the bottom right, click the flag ball icon then chagua nchi uliyopo.

Ok ngoja nijaribu, kwanilidhani Whatsapp inaingia katika iPhone na siyo iPad. let me try. Thanks amoeba
 
Nimesoma katka site ya whatsapp hivi:
[h=4]About WhatsApp[/h]WhatsApp Messenger is a cross-platform mobile messaging app which allows you to exchange messages without having to pay for SMS. WhatsApp Messenger is available for iPhone, BlackBerry, Windows Phone, Android and Nokia.
 
Wadau!Je, nifanyeje ili kuinstall app hii katika iPad. Nikijaribu inasema account yangu is not valid kutumia store ya US na kunitaka ni switch kwenye Tanzanian store. Sasa nina switch vipi? Au solution ni nini, au je, whatsApp haiingii kwenye iPad?thanks
hautaweza kuinstal whatsapp kwenye ipad kuipitia appstore ya ipad. Hiyo ni kwasababu whatsapp haijatengenezwa kwaajili ya ipad. Utaweza kuinstal endapo tu utaiJailbreak na kufanya hivi. Download 'iphone configuration utility' ya computer na whatsapp ipa kupitia google then connect hiyo ipad kwenye computer alafu instal hiyo whatsapp uliyodownload kupitia hiyo configuration utility. Baada ya hapo utatakiwa kuinstal tweak moja inaitwa 'whatspad' kwenye cydia kupitia bigboss repo, hiyo itasaidia kuweka interaction ya ipad na gsm network ili kuisajili whatsapp, baada ya hapo utatumia whatsapp kwenye ipad yako kama kalawida,,sema itakuwa na resolution ndogo kwenye kioo cha ipad kwasababu ilitengenezwa specifically for iphone,,
 
Mkuu Brakelyn, asante sana!

ila mimi sipendi kabisa kujailbreak iPad yangu, so itabidi nisubiri mpaka hapo watakapotengeneza WhatsApp ya iPad or nitatumia smartphone ya android
 

Yes brother, my ipad3 is Jailbrocken, i never new haiwezi kuinstall kama hauja jailbreak!!...lakini jaribu kama inaonekana kwenye store jaribu kufanya kama nlivyokwambia uone ikidownload je inaweza kuinstall? Nilichojaribu kusolve mimi ni tatizo la kugoma kudownload kutoka US apple store!
 
The only way ni via Whatspad tweak from cydia after jailbreaking ndo app ya whatsapp itakubali kuinstall. WhatsApp is designed for smartphones and phablets like galaxy note ii and not tablets kama iPads
 
Back
Top Bottom