G
Tayari kuna WhatsApp for business ambayo wanalipiaNafikiri uko mbele wata categories yaani wale wa business, entertainment, n. K
We jamaa๐๐๐๐Tz tuanzishe WhatsApp yetu na tuiite SamiaApp ๐
Au uongo ndugu yangu ๐We jamaa๐๐๐๐
Ngoja vyawa waje wakupopoeTz tuanzishe WhatsApp yetu na tuiite SamiaApp ๐
Waje tuu nmewaandalia viti na mahema, kama vile wanachama wa chadema waliokwenda kwa mbowe kwa surprise Na kukuta wameandaliwa Viti na maturubai ๐Ngoja vyawa waje wakupopoe
it's good idea gentleman ๐
Naona umewaita wataalam wa masuala ya uchawa na upumbavu kichwani hapa nchini tanzagiza ๐
Watie neno moja hapo hoja yako ifanyie kazi haraka iwezekanavyo.Naona umewaita wataalam wa masuala ya uchawa na upumbavu kichwani hapa nchini tanzagiza ๐
Chawa incharge on night shifts kabless, mchakato uendelee.it's good idea gentleman ๐
Watatumia kina Lucas Mwashambwa๐๐Au uongo ndugu yangu ๐
Huu mchakato utaambiwa una gharimu 600B Tsh Mpaka app kuanza kufanya kazi ๐Chawa incharge on night shifts kabless, mchakato uendelee.
Na hiyo ni Upembuzi yakinifu Round ya kwanza tu. Nchini Malawi kuna mambo...๐คฃHuu mchakato utaambiwa una gharimu 600B Tsh Mpaka app kuanza kufanya kazi ๐
App yenyewe itakuja na bugs kibao, itakuwa inacrash kila kukicha na errors za 404 za kutoshaHuu mchakato utaambiwa una gharimu 600B Tsh Mpaka app kuanza kufanya kazi ๐
Ukifungua tuu app inaanza na ngoma ya ccm, mmeipenda wenyewe ๐ถApp yenyewe itakuja na bugs kibao, itakuwa inacrash kila kukicha na errors za 404 za kutosha
Na hapo bado pesa za msaada kutoka Urusi kuwezesha app kufanya kazi ipasavyo ๐Na hiyo ni Upembuzi yakinifu Round ya kwanza tu. Nchini Malawi kuna mambo...๐คฃ
Bila kusahau sherehe ya uzinduzi wa appNa hapo bado pesa za msaada kutoka Urusi kuwezesha app kufanya kazi ipasavyo ๐