Holly Star JF-Expert Member Joined Aug 25, 2018 Posts 4,373 Reaction score 8,284 Nov 2, 2023 #101 Nineupdate leo nimeziona nyingi balaaa
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 17,483 Reaction score 39,609 Nov 2, 2023 #102 Holly Star said: Nineupdate leo nimeziona nyingi balaaa Click to expand... Mimi nimeupdate toka kitambo sana inakaribia wiki ya tatu sasa naona channels..
Holly Star said: Nineupdate leo nimeziona nyingi balaaa Click to expand... Mimi nimeupdate toka kitambo sana inakaribia wiki ya tatu sasa naona channels..
ILISACHA JF-Expert Member Joined Oct 29, 2019 Posts 2,184 Reaction score 4,046 Nov 3, 2023 #103 Ule unyama wa kuview status bila aliyepost kujua kama umeview wameuondoa na mpangilio wa status sio mzuri bora ule mwanzo
Ule unyama wa kuview status bila aliyepost kujua kama umeview wameuondoa na mpangilio wa status sio mzuri bora ule mwanzo
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 17,483 Reaction score 39,609 Nov 4, 2023 #104 ILISACHA said: Ule unyama wa kuview status bila aliyepost kujua kama umeview wameuondoa na mpangilio wa status sio mzuri bora ule mwanzo Click to expand... Yes ,mpangilio wa status mbovu ,kutaka kuview status kiwizi ni nidhamu ya uoga sana na ni pigo za kishamba.
ILISACHA said: Ule unyama wa kuview status bila aliyepost kujua kama umeview wameuondoa na mpangilio wa status sio mzuri bora ule mwanzo Click to expand... Yes ,mpangilio wa status mbovu ,kutaka kuview status kiwizi ni nidhamu ya uoga sana na ni pigo za kishamba.
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 33,219 Reaction score 83,154 Nov 4, 2023 #105 adriz said: Yes ,mpangilio wa status mbovu ,kutaka kuview status kiwizi ni nidhamu ya uoga sana na ni pigo za kishamba. Click to expand... Wamezingua sana
adriz said: Yes ,mpangilio wa status mbovu ,kutaka kuview status kiwizi ni nidhamu ya uoga sana na ni pigo za kishamba. Click to expand... Wamezingua sana
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 33,219 Reaction score 83,154 Nov 4, 2023 #106 Lucky93 said: Wale chawa wa "yunaitedi steti ofu amerika" wanaiongelea telegram kwa makasiriko sana sababu tu ilianzisha na warusi. View attachment 2655686 Click to expand... Naunga mkono hoja ๐๐
Lucky93 said: Wale chawa wa "yunaitedi steti ofu amerika" wanaiongelea telegram kwa makasiriko sana sababu tu ilianzisha na warusi. View attachment 2655686 Click to expand... Naunga mkono hoja ๐๐
M Magezi bugaga JF-Expert Member Joined Jul 7, 2021 Posts 1,908 Reaction score 2,655 Jun 8, 2024 #107 General Nguli said: Yaan telegram imekuwa Mtandao wa Mashoga na Wauni Click to expand... Kama ndo unawasearch hao utauona hivyo huo mtandao lakini telegram ni lidunia liko na each product u want iyo kila unachokitafuta kimo . Kama malaya wapo, service nyingine zipo alafu ni Dunia nzima
General Nguli said: Yaan telegram imekuwa Mtandao wa Mashoga na Wauni Click to expand... Kama ndo unawasearch hao utauona hivyo huo mtandao lakini telegram ni lidunia liko na each product u want iyo kila unachokitafuta kimo . Kama malaya wapo, service nyingine zipo alafu ni Dunia nzima
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,175 Reaction score 196,919 Jun 8, 2024 #108 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw