Whatsapp group Admin nimeblokiwa nifanyeje?

kumbe ndo wewe umekuja huku JF hahahah sitoi uadmini kaka ndo baibai hiyo na nmeongeza raia wapya tunakula gud time!
 
Jamani polee, inakubidi uanzishe jingine tu
 
Nimecheka sana.

Kuna ka whatsapp group kangu, tupo kama 30+

Admin nilikuwa mimi tu, nikapanda ndege na huko nikawa natumia simcad nyingine, kama Miezi mi6 hivi.

Kurudi nikabadili kila kitu, simu na kurenew ile namba niliotengenezea whatsapp group.

Cha ajabu contacts na baadhi ya magroup yamerudi, lakini group hili halikurudi kamwe.

Members wananiona kama admin lkn sina access na group na hivo wapo bila ya admin na kumueka admin mwingine hawawezi. Pole sana mtoa mada!
 
simpo mkuu tafuta member ambaye yupo kwa group ambaye ni mtu wako ...ingia kwa group,fanya kama unatuma text ..weka emoji elfu moja then tuma ..,matokeo group litakufa kabsa....utamu ni kwamba mtakosa wote .....
 
M
simpo mkuu tafuta member ambaye yupo kwa group ambaye ni mtu wako ...ingia kwa group,fanya kama unatuma text ..weka emoji elfu moja then tuma ..,matokeo group litakufa kabsa....utamu ni kwamba mtakosa wote .....
mkuu ukitumia simu itakubali mkuu?
 
Easy!! Wasiliana na mamlaka ya mawasiliano (TCRA)!! Waeleze ilivyotokea na watachukua hatua....lazima watakupa uadmin wako na yule mshenzi atakomeshwa na kuwajibishwa...!! Pole sana mkuu
hhahahahahahahahaha
 
Hahahahahahaaaa noma sana....naona wamekupindua kwenye kiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…