Kwa wale ambao hawajaelewa hii inakuwezesha kutumia whatsapp kwenye PC yako, bado inabidi uwe na WhatsApp kwenye simu na inabidi iwe hewani wakati unatumia so ukizima simu au usipokuwa na data kwenye simu hauwezi kutumia WhatsApp kwenye PC yako.
Implementation yao ni ovyo kusema ukweli na hii requirement ya kuwa hewani kwenye simu.