Mkuu umefanikiwa!?.. Usipanick fuata hizi steps, Ingia Playstore, halafu upande wa kulia juu kuna kiduara chaweza kuwa na herufi ya Jina lako kibonyeze, halafu utaona sehemu imeandikwa manage apps & devices ingia hapo, utakuta Gb Whatsapp, Og Whatsapp etc ipo hapo. Ibonyeze harafu iondolee ban itarudi kawaida kwenye simu yako. Ukichemka toa taarifa upewe alternative ukifanikiwa pia toa taarifa.