Trouble shooter
Member
- Jan 18, 2014
- 79
- 12
Ili iweje
Ili kuwadanganya watu kua uko UK au USA wakupapatikie wakati ukweli hata Ndege hujui ndani ikoje. Njia hii itakusaidia kukuongezea status then utapata mademu wakali wanaopapatikia watu na ambao hawaujui huu mchezo!!
Mwishowe ukiombwa vitz unaanza kujilaumu,
maisha bila usanii hayaendi kwa kweliHaulaumu,
Unamzuga za Showroom mbaya kwamba unaagiza Japan utachukua miezi miwili, paka aje ashtuke miezi yote miwili hiyo utakua hujaweka mambo sawa?
Watanzania tuna IQ ndogo sana
kuhide utambulisho wako ni low iq?
Watanzania tuna IQ ndogo sana
Watanzania tuna IQ ndogo sana