Northern Lights
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 412
- 367
kama mpaka sasa hawajaweza kudhibiti mijadala ktk ma-group ya WhatsApp pamoja na kupitisha ile sheria ya cybercrime,sidhani kama wataweza kufanya chochote kwa application mpya zijazo za WhatsApp.Hapo sasa sijui watu wa cyber watafanyeje
kama mpaka sasa hawajaweza kudhibiti mijadala ktk ma-group ya WhatsApp pamoja na kupitisha ile sheria ya cybercrime,sidhani kama wataweza kufanya chochote kwa application mpya zijazo za WhatsApp.
Kweli kbs maana kuna magroup yana mambo ya kishetani balaa lkn miaka inaenda yako tu
Hehehe Jaribu uoneUkitaka kujua kama wanaweza ku decrypt tuma, sms za kuweka usalama wa Marekani mashakani.
Hehehe Jaribu uone
swala la usalama wa taifa la marekani ni agenda kuu ya Taifa hilo,hivo basi hata WhatsApp wenyewe wakiona una- impose threat wanaweza waka provide info zako kwa mamlaka husika bila hata kushurutshwaUkitaka kujua kama wanaweza ku decrypt tuma, sms za kuweka usalama wa Marekani mashakani.
Atakua ajipendi huyoUkitaka kujua kama wanaweza ku decrypt tuma, sms za kuweka usalama wa Marekani mashakani.
Definately,N whatsapp guys wako aware of thatHii inaweza kusababisha baadhi ya nchi kuipiga ban whats app
Nimesha update sasa nasubiri kuona kifuatacho tuDefinately,N whatsapp guys wako aware of that
Unaibiwa sim una report mpaka na namba ya mwizi aliekuibia unayo, unajiongeza mpaka na picha yake ushawahi kuinyaka wasap. Ukafatilia fatilia polepole sim yako ulieka find my phone ukajua maeneo kadhaa ambayo kabla ya kuflash sim alikuepo.kama mpaka sasa hawajaweza kudhibiti mijadala ktk ma-group ya WhatsApp pamoja na kupitisha ile sheria ya cybercrime,sidhani kama wataweza kufanya chochote kwa application mpya zijazo za WhatsApp.
Labda TCRA watakuwa wanakodi waisrael kama kutakuwa na ulazima[emoji1]
TCRA sijaona kazi yake kwanza si juzi tu wametumia 18B kusomeshana sasa walikuwa wanasomeshwe mbinu za kuchati ?Unaibiwa sim una report mpaka na namba ya mwizi aliekuibia unayo, unajiongeza mpaka na picha yake ushawahi kuinyaka wasap. Ukafatilia fatilia polepole sim yako ulieka find my phone ukajua maeneo kadhaa ambayo kabla ya kuflash sim alikuepo.
Ila kuanzia TIGO mpaka TCRA hakuna anaejisumbua kusaidia wote wanakuzungusha tuu na kukuambia usijitie kujua. ......
Sijui kama la cyber crime wataweza. Hapa yenyewe tayari kuna mtu kanitumia kakitu kabaya ila nimekafungua bila hata kunepwa na mshipa ..
Hii ndo TZTCRA sijaona kazi yake kwanza si juzi tu wametumia 18B kusomeshana sasa walikuwa wanasomeshwe mbinu za kuchati ?