ymollel
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 3,095
- 2,294
Yaaah nalitambua hilo but hii telegram sina interest nayo sana coz sina watu wengi kule,pamoja sana
pia kwa viber unaweza kutumia account moja kwa vifaa tofauti
Yaaah nalitambua hilo but hii telegram sina interest nayo sana coz sina watu wengi kule,pamoja sana
Mkuu nielekeze jins ya ku install watsup plus kila nikijaribu nashindwa
Nimesha ku pm mkuu muda kidogo
pia kwa viber unaweza kutumia account moja kwa vifaa tofauti
Umejaribu kivipi ukashindwa?
JINSI YA KUINSTALL WHATSAP +
1.fanya backup ya chatting yako kwa kuingia setting ya whatsap yako then sehemu ya conversation
2.uninstall hiyo whatsap yako ya googleplaystore
3install whatsap+,hapa hakikisha kule kwenye setting ya simu yako umeruhusu unknown resource kwa kuweka vema(tick)ili uweze install application(apk) ambazo hazipo play store
4 endelea install kama unavyoinstal whatsap ya kawaida,ikigoma tena hapa katambike kwenye mizimu yenu
Pm yako haijafika mkulu
waungwana nami nisaidieni jinsi yakuungalisha watsup acount moja kwa line mbili plz
Daaaah deoshirima mbona unapenda kusumbua watu mkuu kuna jamaa page ya kwanza kabisa katoa maelezo vizuri kabisa sasa sijui watakaje Gambas hebu msaidie Kijana wako
Mmmh!pengina hajaiona arudi back page ya kwanza kabisa imejitosheleza hiyo kitu....Daaaah deoshirima mbona unapenda kusumbua watu mkuu kuna jamaa page ya kwanza kabisa katoa maelezo vizuri kabisa sasa sijui watakaje Gambas hebu msaidie Kijana wako