whatsap kwenye simu za Tecno

whatsap kwenye simu za Tecno

yawezekana hujai update wala Tecno P3 Haina tatizo Mimi nimeitumia P3 name sasa nimehamia P5 ni poa zote
 
Tatizo ni line yako, tena kama ni Voda maana wanacheleweshaga ile Verification sms, na ikichelewa huwezi ku-proceed na kujiunga whatsapp, hizo simu ziko poa sana tu.
 
naomba kama kuna anaejua nini tatizo la tecno Kwenye whatsap aplication mana nilianza na P3 whatsap ikagoma nikanunua M5 ikagoma baada ya muda.hili si kwangu tu pamoja na baadhi ya watu wenye simu za tecno.

Solution ni kwamba. Hiyo whatsapp unayoikuta kwenye simu wakati umeinunua huwa haifanyi kazi kamwe. Lazima uitoe na u download nyingine. Mimi natumia tecno l3 na whatsapp haijawahi nisumbua kabisa tangu nimedownload.
 
mimi natumiia Tecno Q1 bonge la jembe halinaga shida
 
Yeah 4 sure iko fresh ma sis anatumia kama hiyo haijawai kumgomea hata siku 1
 

Attachments

  • tecnod1.jpg
    tecnod1.jpg
    7.2 KB · Views: 89
Back
Top Bottom