naomba kama kuna anaejua nini tatizo la tecno Kwenye whatsap aplication mana nilianza na P3 whatsap ikagoma nikanunua M5 ikagoma baada ya muda.hili si kwangu tu pamoja na baadhi ya watu wenye simu za tecno.
Naona wakuu wengine wanasema zao ziko poa tu.Naomba kama kuna anaejua nini tatizo la Tecno Kwenye whatsapp application maana nilianza na P3 whatsapp ikagoma, nikanunua M5 ikagoma baada ya muda. Hili si kwangu tu pamoja na baadhi ya watu wenye simu za tecno
Mi nina S3 iko poa kila apps ina-support
chezea hangover wewe.