Whats wrong with this picture part 1

hapo anawaza 2 "hivi hawa Hazina wanafedha ya kulipa DOWANS"
 
ukweli tumekwama na kutoka hapa, itakuwa ngumu mnoooo
 
mi naona wanacheka cheka tu anapewa maelezo ye yupo mbali na hao wafanya kaz wanamawazo cjui hawajapewa mshahara au wanawaza kumaliza warud makwao coz kaz kwa cku hyo hakuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…