What's up niggazz??

Miguu juu ya meza
Hana ustaatabu huyu
 
Fotoshop @ work...!!!

Siyo Photoshop hiyo mkuu. Kuna picha nyingi tu kapiga na hilo pozi. Unafikiri JK akiweka miguu kwenye meza yake kuna wakumshitaki?
 
Picha duka tu. sitaki mtu anibishie.

Mi sikubishii bali nakuuliza tu. JK akiweka miguu yake kwenye meza yake ya ofisi kuna mtu wakumshtaki? Hiyo ni ofisi yake jamani...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…