national motto!!! what is national motto?!!!! hivi kuna nchi yeyote duniani ina national motto?!!! nadhani umekosea kuuliza na umetaja neno motto bila kuelewa maana yake!!! au unamaanisha falsafa ya nchi? maana kila nchi duniani ina falsafa yake labda ungeuliza hiyo ningejaribu Ku kujibu, lakini hapo kwenye motto daaa, naona giza tu. ready to be criticised!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.