What's on your mind today?

What's on your mind today?

Munanioneya jameni. Makingereza yunu haya yatanifanya niikimbie jeiefu!
Usikimbie buana 😅
giphy-downsized-medium.gif
 
Nilikuwa mzima tu wala sijatumia chochote! Nilikuwa nimetoka msibani na kina mama nina mastress yangu hapo nimemaliza chuo pia sina kazi, tunatoka stand sasa ili tuelekee nyumbani nasikia mtu nyuma ananigusa, kugeuka mpiga debe hata sikumjibu nikamwangalia tu nikawa natembea, kakazana tu usiguswe we nani, sijui nini malaya tuu😁 uweehh si nikachoka stress zangu zote nikamtwisha, kinamama wanageuka wanakuta nimempasua mtu huku damu aisee mama akaniambia punguza hasira na mawazo utakuja kusababisha matatizo makubwa tangu hapo sikuhizi sijibu wala sisikilizi mtu barabarani 🫢
Sisterhood inaku- applaud 👏👏👏👏 hao watu huwa wanakera sana, ukiongeza na wale wauza vitu au nguo masokoni. Wapo too comfortable kushika shika wanawake wasiowajua na ukimkataza anaona kama unamuondolea haki yake anaanza kukutusi.

Ila mama alikua sahihi na ni bora umeacha, hasira za kureact si nzuri!
 
Nilishaacha kwa sababu najijua huwa nabolt zangu sitaki kubugudhiwa , nikienda sehemu za watu wengi siwapi attention afu naweka wa mbuzi🤣

Gladly nishaacha!
 
Back
Top Bottom