What would you do? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

What would you do?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Theodora, Jul 5, 2010.

 1. Theodora

  Theodora JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2010
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 522
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Habarini WanaJF. I met my long lost friend and we were sharing what has been happening in our lives. Huyo dada is full of life, has everything going for her, intelligent, and has never given up in what she does, with a good soul. I sometimes admire her tenacity.

  She has been with this guy 3 good solid years, he has done all the bad things on the book to her, lkn she cannot get rid of him! She has told him over and over that its over, refused to answer his calls, but the brother seems to make disappearance acts and reappear. Bottom-line he is wasting her life away.

  Dada huyo hawezi kuhama mji au kazi, so he always finds his way to their home...She asked me what would she do to get rid of him(I silently thought buy a shot gun and scream bloody murder!) I know this is impractical - what advise should I give her that is plausible?
   
 2. T

  The Lady Member

  #2
  Jul 5, 2010
  Joined: May 22, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kama nimekupata uzuri ni kwamba huyu dada hampendi mwanaume huyo, vipi akimwambia tu ukweli? will it not work?
   
 3. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2010
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  u just said he dissappears and reappears...and she lets him into her life and home???? mwambie awache mzaha. if she didnt want him in her life the guy wd long be gone!!!
   
 4. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2010
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Kwanza kamfikishie pole zangu huyo mwanadada.

  Pili kwamwambie tatizo sio huyo mwanaume, bali yeye mwenyewe binafsi. Tatizo kubwa la watu wengi kupotea ni kuamua kutumia HISIA kwenye maamuzi badala ya UHALISIA. Mtu anayeweza kufanya maamuzi sahihi ni yule anayetumia akili, na si moyo wake ambao umejaa hisia kufanya maamuzi.

  Kamwambia anao uwezo mzuri wa kufikiria, na wala haitaji ushauri wowote. Yeye mwenyewe ameamua kujijjengea ukuta kwa kufuata hisia zake, ingali ukweli anaujua wazi kwamba huyo kijana anampotezea muda.

  Mapenzi si upofu, bali ni upofu kwa wale wanaotawaliwa na hisia zao kiasi cha kutupa akili zao!

  Mungu na amsaidie ujinga wake!
   
 5. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Ningekupa mawazo but since wewe ni walewale, msaidie uonavyo
   
 6. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  tatizo si la huyo mwanamme kama wewe na rafiki yako mnavyofikiria.

  tatizo ni la huyo dada mwenyewe. kama hataki kweli, amfikishe polisi tu...............and believe me hata huko polisi hata wahi kufika jamaa akijua kuwa anaweza kwenda kweli polisi ataambaa taratibu.

  msicheze na maisha kwa kumuonea mtu muhali / haya........................jambazi jambazi tu hata yule anaeiba peace of mind yako.
   
 7. GodFather

  GodFather Member

  #7
  Jul 6, 2010
  Joined: Oct 31, 2008
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Damn it.it sounds like its you..
   
 8. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #8
  Jul 6, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kweli gaijin tatizo kubwa la cc wanawake tunasamehe kirahisi, imagn kama akiamua kumfungia mlango mara tu anapokwenda kwake na kumwambia ukweli sitaki kukuona tena kwenye maisha yangu naamini kama ana akili timamu huyo mwanaume hatakanyaga tena nyumba hiyo. huyu dada hamaainishi kile anachosema deep somewhere in her heart anawish huyo mwanaume arudi.
   
 9. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #9
  Jul 6, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  it looks like kuna something ''hidden''' sisi wakukushauri hatujui,AU PENGINE HATA WEWE HUJUI!...
  ngumu sana.

  katika hali ya kawaida ukishamwambia mtu kwa dhati na msisitizo mkuu kuwa humtaki haina haja.....!kaa mi ningeshasepa kitambo kutafuta totoz nyingine pale UDSM au IFM
   
 10. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #10
  Jul 6, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  kuna wanaume wengine wanajitoa fahamu kwa sababu wanaona lazima mwanamke utakuwa na moyo wa huruma..........

  mimi nishawahi kumpiga mtu simu polisi .................................mpaka kesho kiama hanisahau. Eboo

  ila harudii tena kwenda nyumbani kwa watu bila ya kukaribishwa :D
   
 11. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #11
  Jul 6, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Huyu dada nadhani ni sitaki nataka ,pale atakapokuwa tayari kuachana na huyo sweetheart wake ..sidhani kama ushauri utahitajika.
   
 12. GodFather

  GodFather Member

  #12
  Jul 6, 2010
  Joined: Oct 31, 2008
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  The best way to dump a guy is to find another guy.........
  So simple..........
  Unless u r ugly and no one likes you......
   
 13. Theodora

  Theodora JF-Expert Member

  #13
  Jul 6, 2010
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 522
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Myopia...hunijui so reserve your no input! Inawezekana huyo jamaa is a mirror image of ur bhr...oops!
   
 14. Theodora

  Theodora JF-Expert Member

  #14
  Jul 6, 2010
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 522
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  May be so may be not. You will only assume...
   
 15. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #15
  Jul 9, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180

  NO one is UGLY we just look different!:A S tongue:
   
 16. D

  Diana-DaboDiff JF-Expert Member

  #16
  Jul 9, 2010
  Joined: Jul 13, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huyu rafiki yako bado anamtaka jamaa,akiamua kweli hamtaki sidhani kama itamchukua hata nusu saa kumwambia ukweli.Ushauri wa Godfather pia mzuri apate mwanamme hata kama rafiki wa kawaida ili jamaa aone ana mtu mwingine.
   
 17. katelero

  katelero JF-Expert Member

  #17
  Jul 10, 2010
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  so simple kudeal na mtu wa aina hiyo, huhitaji kuanzisha mahusiano mapya kama haupo tayari, omba ushirikiano kutoka kwa rafiki yako yoyote wa kiume, aje nyumbani kwako kaa nae kwenye kochi moja mlalie kifuani kabisa kama mpenzi wako vile ikibidi kabisa mjifunike khanga au shuka hahaha, then mpigie huyo king'ang'anizi simu aje home awashuhudie mlivyolaliana, walai hata kaa arudi tena, it works jaribu uone, mie nilishaitumia na ikasaidia
   
 18. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #18
  Jul 10, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,021
  Trophy Points: 280
  Si unaona jinsi wanawake mnavyodanganyana. Eti rafiki wa kiume mjifunike khanga huku ukiwa umemlalia............. Hapo lazima tendo litendeke. Acha kumdanganya mwenzio....
   
 19. katelero

  katelero JF-Expert Member

  #19
  Jul 10, 2010
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hakuna kitakachotendeka, huyo ni rafiki tu na sio mpenzi na ndo maana nikaomba ushirikiano kutoka kwake
   
 20. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #20
  Jul 10, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,021
  Trophy Points: 280
  Unaweza kuwa rafiki yangu? Nataka unikaribishe unifunike na khanga ukiwa umelalia kifua changu. (Ntafurahi zaidi kama utakuwa umevaa bikini) Halafu tuone urafiki wetu utafikia wapi.:humble:
   
Loading...