what will you do?

oldd vampire

oldd vampire

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Messages
253
Points
0
oldd vampire

oldd vampire

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2011
253 0
umeishi na boyfriend wako kwa miaka mi 3 sasa,ila miaka yote umemvumilia mateso yote,like kuku gombeza na kukuambia muachane ukikosea kidogo,alafu siku ya siku nawe ukachoka kabisa,mana kakuambia tauchane ww sio wife material,mpumbavu,unakasoro nyingi,hunifai na some stuffs,ukaamua kumwambia poa am living my life now,afu eti baadae baada ya kuona nawe umemute anarudi kuomba msamaha,na kukiri kua ni kweli kakutreat vibaya sana,hataki kukupoteza,u min so much to him,na akapromise kuchange,utamsamehe na kumrudia?or u will stick to your decision?
 
Nicole

Nicole

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2012
Messages
4,282
Points
0
Nicole

Nicole

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2012
4,282 0
Once ur not a marriage material 2a man...u wil never b a marriage material, open ur eyez gal coz he wil use and misuse u 4 five years and then at the end he wil find sm gal who is marriage material marry her and leave u in deep sh*t...use ur brain in ths and nt ur heart
thank you
 
Joseph

Joseph

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2007
Messages
3,524
Points
1,225
Joseph

Joseph

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2007
3,524 1,225
Angalia moyo wakoi ngawa hujasema huwa unafanya nini mpaka yeye akwambie maneno yote uliyotuambia hapa hivyo tuna stori ya upande mmoja tu ambayo umejaribu kutuonesha makosa ya mwenza wako pekee,sidhani kama inawezekana mtu hujamfanyia lolote akakukuta tu na kuanza kukwambia maneno hayo.
Hebu funguka zaidi tukushauri vizuri.
 
Suprise

Suprise

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Messages
2,697
Points
1,195
Suprise

Suprise

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2012
2,697 1,195
hahaha lakini ucje kua unamtest go mazima for gud, jamani tubadilike wadada boyfrend sio mme, iweje umuachie ajinafasi miaka mitatu yote hiyo jamani anakufuja tuuuuuuuuu
 
Tized

Tized

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Messages
4,003
Points
2,000
Tized

Tized

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2012
4,003 2,000
Alikuchukulia for granted, kwamba chochote anaweza fananya na huwezi kumuacha, na hii ni tabia ambayo hujiinua pale upande mmoja unapoonesha upendo sana kwa mwingine. isipotekea balance, anayependwa sana japo mwanzoni anakuwaga na upendo ila akishaoneshwa kupendwa sana upendo wake unaanza kushuka na kubweteka. So hapo inakuwa kama sitaki na taka na visa vingi huanzia hapa. kama ni simu anaweza asipokee cause anajua utapiga tu, akikosea anakaa kimya hadi wewe umuombe msamaha kwa makosa yake, apointments anazipuuzia na anaanza kuonesha hata akikuacha atapata tu mwingine etc etc.

On the other hand yupe mpendaji sana, asiposhtuka na kuchukua maamuzi, ataendelea kuteseka zaidi na zaidi kwa kuwa ana upendo wa kweli (upendo unagrow pale unapokosa uhakika sana so kila saa unakuwa unatamani kupata uhakika so unakuwa na upya). Na ukishtuka ukachukua hatua, yule aliyebweteka ndio anaamka, he kumbe ni kweli, akili ndio inarudi sasa na kuanza kuomba msamaha msamaha. Point yangu kubwa hapa ni kujifunza namna ya kubalance upendo wako kwa mwezako.

''who loves the most suffers the most, who loves the least suffers the least and he/she controls the relationship''

Mniwie radhi wakuu sijaandika haka kaobservation kangu kwa mtiririko unaofaa sana.
 
Papa D

Papa D

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
699
Points
195
Papa D

Papa D

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
699 195
wacha kuwa kichekesho Humu jamvini!!
kakutishia mara kadhaa hukumwacha!
Leo kakutishia umeamua kuachana nae, kesho karudi anataka mrudiane unaomba ushauri wa je ukubali au la!
Swali ni kwamba "Je, akili yako inafanya kazi sawa sawa au vinginevyo? maana maelezo yako yanaonyesha weye ndiyo umekolea kwake kwa hiyo hata kuachana naye kiroho kinakuuma na unatamani sana mrudiane. unachofanya humu ni kujaribu kuhalalisha njia utakayotumia kumrudia jamaa. kwa maneno mengine ni hivi:- unaona aibu kumrudia kutokana na vijimaswali vinavyojitokeza kichwani mwako ambavyo majibu yake unayaona yanaukakasi yaani watu watakuona mtu wa namna gani!!
Ili uondoe kichekesho unachokifanya humu jamvini Jiulize hivi "Do I have feelings about this guy?" If the answer is yes then "GO BACK TO HIM WITHOUT EVEN LOOKING BACK ON WHAT HAPPENED BEFORE" ELSE ...............

umeishi na boyfriend wako kwa miaka mi 3 sasa,ila miaka yote umemvumilia mateso yote,like kuku gombeza na kukuambia muachane ukikosea kidogo,alafu siku ya siku nawe ukachoka kabisa,mana kakuambia tauchane ww sio wife material,mpumbavu,unakasoro nyingi,hunifai na some stuffs,ukaamua kumwambia poa am living my life now,afu eti baadae baada ya kuona nawe umemute anarudi kuomba msamaha,na kukiri kua ni kweli kakutreat vibaya sana,hataki kukupoteza,u min so much to him,na akapromise kuchange,utamsamehe na kumrudia?or u will stick to your decision?
 
M

mzabzab

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2011
Messages
7,869
Points
2,000
M

mzabzab

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2011
7,869 2,000
correct me if am wrong but hii ni mara ya tatu unamzungumzia njemba...u certainly not oa him...msamehe na mrudiane tuu....u still love him
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
43,539
Points
2,000
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
43,539 2,000
Ukiamua tiii maamuzi yako, lakini angalia yasije yakakugharimu
 
MtamaMchungu

MtamaMchungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Messages
4,260
Points
2,000
MtamaMchungu

MtamaMchungu

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2011
4,260 2,000
Wanaume tunataka mambo mengi kutoka kwa wanawake, Amemiss mwili wako tu, anayekupenda hawezi kukutukana matusi kama hayo.
 
Eiyer

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Messages
28,267
Points
2,000
Eiyer

Eiyer

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2011
28,267 2,000
Nenda kasikilize wimbo wa Gregory Isaack unaitwa Objection Overlude.
"
Kama atakua anamaanisha kama huo wimbo unavyosema msamehe.
"
Ukimsamehd na kama atakua amejirekebisha kweli mtadumu.
"
Kama haoneshi kukerwa na matendo yake fikiri mara mbili!
 
oldd vampire

oldd vampire

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Messages
253
Points
0
oldd vampire

oldd vampire

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2011
253 0
Angalia moyo wakoi ngawa hujasema huwa unafanya nini mpaka yeye akwambie maneno yote uliyotuambia hapa hivyo tuna stori ya upande mmoja tu ambayo umejaribu kutuonesha makosa ya mwenza wako pekee,sidhani kama inawezekana mtu hujamfanyia lolote akakukuta tu na kuanza kukwambia maneno hayo.
Hebu funguka zaidi tukushauri vizuri.
okey nilimcheat wakati tuna relation ya 2 mnths na reason was that i was not serious with him,because hukonlikotoka niliumizwa sana,alafu na yeye pia kuna ishu alinidanganya so nikaona ni walewale yani,thats why i cheated,but alisamehe
 
oldd vampire

oldd vampire

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Messages
253
Points
0
oldd vampire

oldd vampire

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2011
253 0
Alikuchukulia for granted, kwamba chochote anaweza fananya na huwezi kumuacha, na hii ni tabia ambayo hujiinua pale upande mmoja unapoonesha upendo sana kwa mwingine. isipotekea balance, anayependwa sana japo mwanzoni anakuwaga na upendo ila akishaoneshwa kupendwa sana upendo wake unaanza kushuka na kubweteka. So hapo inakuwa kama sitaki na taka na visa vingi huanzia hapa. kama ni simu anaweza asipokee cause anajua utapiga tu, akikosea anakaa kimya hadi wewe umuombe msamaha kwa makosa yake, apointments anazipuuzia na anaanza kuonesha hata akikuacha atapata tu mwingine etc etc.

On the other hand yupe mpendaji sana, asiposhtuka na kuchukua maamuzi, ataendelea kuteseka zaidi na zaidi kwa kuwa ana upendo wa kweli (upendo unagrow pale unapokosa uhakika sana so kila saa unakuwa unatamani kupata uhakika so unakuwa na upya). Na ukishtuka ukachukua hatua, yule aliyebweteka ndio anaamka, he kumbe ni kweli, akili ndio inarudi sasa na kuanza kuomba msamaha msamaha. Point yangu kubwa hapa ni kujifunza namna ya kubalance upendo wako kwa mwezako.

''who loves the most suffers the most, who loves the least suffers the least and he/she controls the relationship''

Mniwie radhi wakuu sijaandika haka kaobservation kangu kwa mtiririko unaofaa sana.
yaani you are very true,mimi ndo nilifall sana kwake,mana saivi ananiambia kua alivimba kichwa sana alivojua nampenda,so hata habari ya simu ni kweli kabisa
 
K

Karug

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
334
Points
195
K

Karug

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
334 195
talk to yourself and stick to what you think and believe is right for you and your future.....
 
Scofied

Scofied

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2012
Messages
2,100
Points
1,500
Scofied

Scofied

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2012
2,100 1,500
okey nilimcheat wakati tuna relation ya 2 mnths na reason was that i was not serious with him,because hukonlikotoka niliumizwa sana,alafu na yeye pia kuna ishu alinidanganya so nikaona ni walewale yani,thats why i cheated,but alisamehe
dah! am a cheater but I don't give shiit to whoever who cheat me... Kwa kukupa second chance Basra ya kumcheat it possibly kwamba he loves you.. So give him a second chance Mkuu...
 
Tized

Tized

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Messages
4,003
Points
2,000
Tized

Tized

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2012
4,003 2,000
Hahaaa, Lazima tujitahidi sana kutafuta balance kwenye kuonesha upendo wetu ili kuondoa hii dhana ya mtu kukuchukulia for granted especially kabla ya ndoa. isifike mahali mwenzako aamini kuwa hata nimfanyaje au nimkoseaje huyu kwangu kafika hawezi fanya chochote. Au huyu hawezi kuniacha mimi hadi mimi nimuache. Ukisharuhusu hali kama hio andika maumivu.

Pia tujifunze kufikiri, mahali pa kutumia kichwa, kichwa kichukue nafasi yake, Tusiendeshwe sana na hisia zetu. bahati mbaya wengi tunatumia miyo yetu kuamulia kichwa cause its easier kwa moyo kumshawishi kichwa kuliko kichwa kuleta logic zake kwa moyo, sasa ndio ukichaa unaanzia apa. lakini jamaa huyu apa alisema ''There is always some madness in love. But there is also always some reason in madness'' By Friedrich Nietzsche

Lets reason guys.

yaani you are very true,mimi ndo nilifall sana kwake,mana saivi ananiambia kua alivimba kichwa sana alivojua nampenda,so hata habari ya simu ni kweli kabisa
 
F

fimboyaasali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Messages
2,530
Points
2,000
F

fimboyaasali

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2011
2,530 2,000
umeishi na boyfriend wako kwa miaka mi 3 sasa,ila miaka yote umemvumilia mateso yote,like kuku gombeza na kukuambia muachane ukikosea kidogo,alafu siku ya siku nawe ukachoka kabisa,mana kakuambia tauchane ww sio wife material,mpumbavu,unakasoro nyingi,hunifai na some stuffs,ukaamua kumwambia poa am living my life now,afu eti baadae baada ya kuona nawe umemute anarudi kuomba msamaha,na kukiri kua ni kweli kakutreat vibaya sana,hataki kukupoteza,u min so much to him,na akapromise kuchange,utamsamehe na kumrudia?or u will stick to your decision?
kusameheana na wajibu wa kibinadamu hivyo msamehe huenda aliputiwa
 
Joseph

Joseph

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2007
Messages
3,524
Points
1,225
Joseph

Joseph

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2007
3,524 1,225
okey nilimcheat wakati tuna relation ya 2 mnths na reason was that i was not serious with him,because hukonlikotoka niliumizwa sana,alafu na yeye pia kuna ishu alinidanganya so nikaona ni walewale yani,thats why i cheated,but alisamehe
Yafaa mkae mzungumze maana inawezekana mnaishi kwenye mapenzi yenye visasi kitu ambacho si kizuri,wanaume tuna wivu sana na ni wagumu sana kukubaliana na wakati ambao huwa tunajua wenza wetu wamekwenda kinyume na sisi ndio maana ni rahisi sana kuona mwanamke anamfumania mpenzi wake na akasamehe lakini ni ngumu sana kwa mwanaume kusamehe.
Katika maisha ya kimapenzi yafaa ujue kuwa kuna maumivu na moja ya maumivu ni hayo na si raha pekee kama watu wengi wanavyodhani na huamua kuingia kwenye mapenzi kwa ajili ya raha tu ila inapotokea shida kidogo huwa wa kwanza kukimbia na kuhamia kwingine wakidhani kuna ubora zaidi kumbe kila mwanadamu ana mapungufu yake,kama kweli unapenzi la dhati kwa huyo jamaa yako basi yafaa ukae nae chini na kuzungumza kwa kina juu ya nini mnataka katika maisha yenu,ukiamua kumuacha basi fanya uamuzi ulio sahihi na hata ukija kuanzisha uhusiano mwingine huko mbeleni ujue tu kuwa unaishi na mtu ambaye naye ana tabia tofauti nawe na yafaa kama ana kasoro fulani ni wewe wa kuweza kuirekebisha badala ya kukimbia,mapenzi ni magumu sana hivyo uvumilivu ni muhimu.
Nashukuru kwa kuweza kufunguka juu ya nini kilitokea kabla maana nimeweza kupata mwangaza wa juu ya tatizo lililopo na ni wachache sana ambao wanaweza kusema ukweli wa waliyoyafanya hasa hapa jamvini,hongera sana kwa hilo.

Forum statistics

Threads 1,283,763
Members 493,810
Posts 30,800,063
Top