Nenda kibaruani rafiki. Rais hashitakiwi. Ni katiba sio wazo la mtu.Najiuliza swali tu, nini kitatokea baada ya November 2015???????
1 Nani atakua raisi wa Tanzania?
2. Nani atakwenda jela na nani atakua huru?
3. Kama mfalme akingangania madaraka nini kitatokea?
4. Je itaundwa tume kuchunguza maovu yote yanayotokea sasa?
5. Je tutajua ukweli kwa waliko wakina Ben na Azory?
6. Tutajua ukweli wa nana aliyeamru Lisu apigwe risasa?
7.....
Hakuna lolote litakalo tokea ikiwa hatuto ifanyia katiba marekebisho, na chama cha kijani kikiendelea kuwa madarakani.
Najiuliza swali tu, nini kitatokea baada ya November 2015???????
1 Nani atakua raisi wa Tanzania?
2. Nani atakwenda jela na nani atakua huru?
3. Kama mfalme akingangania madaraka nini kitatokea?
4. Je itaundwa tume kuchunguza maovu yote yanayotokea sasa?
5. Je tutajua ukweli kwa waliko wakina Ben na Azory?
6. Tutajua ukweli wa nana aliyeamru Lisu apigwe risasa?
7.....
zero brain. huna hoja. mtu kuwaza ya mbali ni kuwaza umasikini?Kimbia kafanye kazi kwa bidii mapema hii, au kama ni kusoma kasome kwa bidii kabisaa utakufa maskini na fukara kabisa asubuhi yote hii unaota mambo ya 2025..
Niliuliza sijapata jibuNajiuliza swali tu, nini kitatokea baada ya November 2015???????