Hawa jamaa kama mambuzi vile..yaani wanafurahi kuona Harmonize ngoma haziendi.Ila mashabiki wa WCB huwa naona kama mko desperate sana.
Mmekuwa radicalized kama wafuasi wa Trump. Mnatia sana huruma aisee.
Hii ni audio kaka, tena kajitahidi sana hapo, watu hawafuatagi audio youtube , wanaenda kudownload kwenye vi blog uchwara..View attachment 1695990
Tumsaidieni kijana wa watu , masaa matano views buku na ushehe tuu, au Mimi ndo sielewi
Jama la Facebook hili Nili admin lama group za ngono ...Mkuu ishi maisha yako, wazazi probably wako wanakutegemea.
Wasanii hawana time na wewe, rafiki yao ni yule mwenye pesa na madaraka.
Kwa lugha rahisi watu maarufu wote Tanzania walishajua wabongo hamnazo na hawajielewi ndio maana wano busy na mambo yao kama CCM, endorsements.
Hata ukikutwa umeyawa kikatili Ubungo, they don't care hata atakayekemea
Hii sio channel yake na huo sio wimbo waoView attachment 1695990
Tumsaidieni kijana wa watu , masaa matano views buku na ushehe tuu, au Mimi ndo sielewi