What the hell was that for?

The combersom ridicuriosity of impeachatable dranatise the bizzare of dullibess of ccm after totally or partially ripivroheras appendicular sabotage of lissu,this simbolise the affectionism of embramence at large
I'm trying hard to imagine what is the purpose of your ridiculous message, if not nonsense. Collection of misspelled words of no reason than show off.
 
Lakini wewe ndiye unatia huruma kwa maana ya huruma kweli. Ulichokileta hapa ni utopolo, wenye akili za kuwatosha wanajua thamani ya kilichofanywa na Lissu!
Sasa kwa nini umechangia utopolo?
 
Mbona Wasimamizi wa uchaguzi wanapofunga ofisi kukwepa kupokea form za Wagombea ambayo siyo CCM hukemei???. Ni ukabila tu unakusumbua. Hakuna facts hapo...
Kwani ninapaswa kukemea kila tukio?
 
Nikitumia Kisukuma mtasema naendekeza ukabila.
Hata usipoandika kisukuma haiondoi ukabila wako kwa Mheshimiwa sana.

Ila kwa level yako ya understanding najuwa ukweli unajuwa na fact za Lisu umezipata vizuri.

Mimi kikubwa nashukuru walahu kuna Mtanzania mmoja jasiri ametokea na kumsema kwa fact waziwazi Mheshimiwa sana, kwa hilo Tundu Lisu ataandikwa kwa wino wa dhahabu miaka mingi ijayo baada ya wajukuu wetu kufukuwa mafuvu yetu kuyafanyia research na kupata fundings kumbe miaka 2000 katika Watanzania ovet 50 million kulikuwa na kichwa kimoja tu chenye akili na ushujaa na hakikuwa tayari kugeuka kondoo na kujiunga kwenye Praise choir.
 
Mbona una hasira hivyo wewe?

Kwani nimecutombea demu wako?

Kama una ubavu njoo unitukane mbele yangu halafu uone kitachotokea....
Weye huwa ni kajinga fulani unaekariri mashairi ya kiingereza halafu unawakoga wananchi ulivyo farasi.Mjingamjinga weye.Halafu ulivyo zumbukuku unawaaminisha CCM ndiyo chama!Makalio yako yamepauka ngedere weye!
 
Nyani akishakamatwa na ukabila na ukanda ndio hujaga hivi. As long as you have been blinded by Nepotism and Tribalism , you won’t see a logic in Lissu objections!!
And are you using logic to defend Lissu's objections?
 
Bavicha walirukaruka nasikia wengine walikuwa wanamtag yule beberu wao amsterdam kwamba huku kazi imeisha
Hii topic nimecheka sana. Kwanini mnapenda kuwachokoza vijana wa bwana Amsterdam 🤣
 
Weye huwa ni kajinga fulani unaekariri mashairi ya kiingereza halafu unawakoga wananchi ulivyo farasi.Mjingamjinga weye.Halafu ulivyo zumbukuku unawaaminisha CCM ndiyo chama!Makalio yako yamepauka ngedere weye!
🖕🏿
 
Nyani ngabu mada uloleta inaonesha ni kiasi gani ulikwazwa na move ya Lissu to submit objection against Magu's candidacy nahii inatokana na namna unavyomchukulia Magu kama robo Mungu ndo maana ukipigwa na butwaa kuona kuna watu wenye utashi wa kumpinga huyo Mungu wako.
Kukwepesha aibu tume imeamua kumuokoa kibabe usichokijua ni kwamba tumeimevuliwa nguo na pia huyo mgombea amethibitisha kuwa kichwani ni mweupe hana hoja na anaogopa Sana mijadala.

Nimjuavyo magu sasa hivi akiambiwa Mimi ninataka debait naye lazima atampigia simu Siro kama siyo Diwani Athuman kunidhibiti hiyo yote inaonesha uwezo wake wa kupambanua na kutetea hoja hawezi.
Usidhani kwamba aliposikia habari ya pingamizi alikaa kimya lazima aliomba msaada na hakika amesaidiwa vinginevyo dunia ingeshangaa PhD ya mtu kwamba niyeye alikaa darasani au vinginevyo?

Pingamizi lile pia lilimaanisha kuamsha ubongo wake asibweteke sasa hivi hii nchi ina watu wenye uwezo wa kumuhoji akiboronga na siyo kupigiwa makofi na kuimbiwa mapambio bila sababu ilifika hatua hata kama jamaa amekohoa anapigiwa makofi, akipita mtaani na kununua madafu (ingawa hizi ni movie zake) TBC ndo habari ya kwanza na tv zingine zinafungiwa asubuhi kwanini Kula kwake madafu haijawa font fed news au kwanini haijawa Breaking News.

Kipindi hiki hakuna jiwe litaachwa kugeuzwa akiboronga atapewa sure yake asidhani tz ni zizi la Bubalus bubalis.

Kama uliumia Magu kuwekewa pingamizi ukidhani watz wote ni LB7 fc basi utaumia Sana my waka huu.
 
Nilisema kuwa hizi pingamizi ni upuuzi tu.... watakutana Oktoba kwenye vikaratasi wamebandikwa sura zao
 

Without objectivity in your thinking, you will never get to understand Lissu’s motive behind his challanges. He knew pretty well NEC would not consider them. He was trying to stand out and do what nobody has ever done before - submit a challenge against the incumbent and SEE what NEC does. We will never get to know if his challenges, especially the photo-related one was genuine (we cannot see JPM’s forms).

Many a time same challenges have been used successfully by CCM to remove opposition candidates from ballot papers. Too bad NEC’s decisions are final and that is why we will never get to know the whole truth!! Is it a bad idea if we had special courts of law for elections?? Where even NEC’s decisions would be challenged??

Lissu was playing a game he knew he would lose but he showed up. Unfortunately he is being ridiculed for something no other person has ever done. I think he should be applauded for testing his rights as a candidate and wake some thinking up!! Not very many people knew some things were possible. As for me, I thought a “defendant” would face the “plaintiff”. It appears not to be the case AND this could have been the only thing Lissu wanted. Grandstanding!!

Let’s get over this and go to polls!!
 
In the end, you agree with me. He was just grandstanding!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…