What the hell was that for?

Maybe the raison d'etre,as to why he sank so low with his superlative stupidity,was to influence his fellow muggots,to donate more money to his campaign
Could very well be 🀣
 
Wapuuzi sana Hawa Jamaa
 
Reactions: BAK
Seriously??
Hahahaaaa Lissu bana!

Sijui kwa nini anapenda kuwa drama queen kiasi hicho!!
Kuna kosa gani kwa Lisu kuainisha mapungufu yaliyokuwepo kwenye fomu za Magufuli?

Unadhani mapungufu hayo angekuwa nayo Lisu asingekatwa?

Wengi mpaka sasa hamjamuelewa Lisu anachokifanya ni kuonesha mambo hadharani hata msio na macho muone.

Lisu mwenyewe anaelewa wazi hawezi kitangazwa mshindi hata kama atashinda lakini kuna clear msg anaituma kupitia uchaguzi huu na ataacha legacy iliyotukuka.

Labda nikuulize wewe miska ya 90"s ilikuwa ukiomba viza ubalozi wa Marekani walikuwa wanataka upeleke passport size inayoonesha sikio moja tu, sasa wewe ukipeleka passport size inayoonesha msdikio yote mawili wangekuelewa?

Tusijitie uwendawazimu wapinzani ndio wahanga wa hizi pingamizi sasa Lisu ametumia weledi wake kuwaonesha dhahiri shayiri kwsmba kams haya mambo yangekuwa yanafanyika kwa haki basi hata wagombea wa ccm huwa wanakosea, tusiwakate watu, waelekezwe kurekebisha dosari mpira uwekwe kati wananchi waachiwe waamuwe.
 
Reactions: BAK
Achana na hawa they are blinded by the truth wacha wapige kelele........wee jiandae kwa visingizio october
 

Kwa imani yangu najua kinachosababisha uandike huu utopolo wako ni suala la ukabila tu.

Kisa Jiwe ni kabila lako ndio sababu unabwabwaja.

Fungua ubongo wako ndio ujue Tundu Lissu ana degree 2 za sheria na hao unaowatetea wote kanda ya ziwa mmoja ana degree ya uchumi na mwingine ana degree ya kemia so kama walikosea kisheria alipaswa kuwawekea pingamizi ingaww tume walichofanya ni kupuuza bila kupitia kiundani.
 
The combersom ridicuriosity of impeachatable dranatise the bizzare of dullibess of ccm after totally or partially ripivroheras appendicular sabotage of lissu,this simbolise the affectionism of embramence at large
Haaaaa haaaa haaa! Mpaka kichwa kinauma. Tusameheni bure jamani..haaa
 
Mbona umetumia lugha ya mabeberu, si ungetumika lugha yenu ya kusukuma tu
 
Better shut your mouth bro bcz u don't know anything about laws.
 
Tundu alitaka tu kupata 'attention'.
Binafsi nimemsikiliza Lisu kwa makini, jana ndio mara yangu ya kwanza kukaa YouTube na kurudia rudia video ya mtu mmoja akiongea, ninachoweza kusema Lisu atakapofariki kwa ahadi ya Mungu ndio wanafki Watanzania watazisema waziwazi sifa za mtu huyu hasa kwenye upande wa sheria.

Sina uwezo wa kuandika ukanielewa kama emesikiliza mtu akitowa fact za kisheria na bado wapo wasiomuelewa.

Watanzania ni watu wa hovyo sana.
 
When you can’t argue the facts, you resort to your tired little tactic of playing the tribalism card.

FOH.
Mbona Wasimamizi wa uchaguzi wanapofunga ofisi kukwepa kupokea form za Wagombea ambayo siyo CCM hukemei???. Ni ukabila tu unakusumbua. Hakuna facts hapo...
 
Jamaa unakuwaga kajinga kwelikweli!Badilika mbwa weye?Kwa hiyo ukajiaminisha JF ni ya kwako?Ng'ombbe kweli weye!Be updated
Mbona una hasira hivyo wewe?

Kwani nimecutombea demu wako?

Kama una ubavu njoo unitukane mbele yangu halafu uone kitachotokea....
 
Tundu wanted to know whether or not other aspirants files any objections against his candidacy. So he just created reasons to visit the Commission office s
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…